Uongo huu ni kwa faida ya nani: Mgomo bado upo

mithun

New Member
Jul 4, 2012
1
0
Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI

nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa!

kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na wakuu wa taasisi hizi wanaeneza

uongo kuwa huduma zinaendelea kama kawaida.

Najiuliza uongo huu ni kwa faida ya nani?

Tunaipeleka wapi nchi hii wandugu,

ukweli uelezwe ili tatizo lipatiwe ufumbuzi.
 
Ujuwe wamefika mahali hawana hata fikra moja ya namna wanavyoweza kujikwamua,wamewafukuza mdaktari na wao wameitikia wito tunawangoja wa Iran watakaocchukua nafasi za akina Professor Mseru
 
Hahahaha, it is another silly season. May Almighty God help us.
 
kwa hili mzee wa magogoni amechemka vibaya sana kwa Drs,hivi ule msemo wake wa kuchanganya na za kuambiwa mbona yeye hautumii?
 
Nilimsikia asbh mkuu wa mkoa Meck Sadick akiwaambia umma wa wana dar kwamba madaktar wamerejea, kumbe ni mbwembwe..., serikali CCM itafakari kwa makini jambo hili, na tayari limewaghalimu
 
Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI

nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa!

kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na wakuu wa taasisi hizi wanaeneza

uongo kuwa huduma zinaendelea kama kawaida.

Najiuliza uongo huu ni kwa faida ya nani?

Tunaipeleka wapi nchi hii wandugu,

ukweli uelezwe ili tatizo lipatiwe ufumbuzi.

Thibitisha.... maneno yako yako upande wa wanaopenda mgomo uendelee
 
Kikwete DHAIFU, Pinda DHAFU na Serikali yao yote ni DHAIFU. Wametudanganya Watanzania katika mambo mbali mbali kwa miaka mingi sasa. Uongo huu ni kwa manufaa yao.
 
Uongo huu ni kwa faida ya Dhaifu, tunaomba jumuiya ya madaktari itueleze kinachojiri, hawa propagandists wamezidi uongo wao.
 
Mwendawazimu flani wa Milembe alipanda juu mti wa
mwembe asubuhi sana, akakaa mtini hadi kitu saa
kumi. Njaa ikamkaba mpaka penyewe...mara...chali
akadondoka chini kutoka kwenye mti. Daktari akaja
akamwuliza: Nini kinaendelea, kulikoni?
Mwendawazimu akamjibu: wala usijali sana hata mi nashangaa au ndo kusema"NIMEIVA!"?
 
Hapa mbona mnatuchanganya
hebu hawa madoc watuambie ukweli wenyewe hawa majuha mi siwa amini hata kidogo!
 
Asubuhi hii nimetembelea hosipitali ya muhimbili , na taasisi ya mifupa ya MOI

nimeshuhudia kwa macho yangu Hakuna huduma kabisa!

kinachonisikitisha viongozi wa serikali, vyombo vya habari na wakuu wa taasisi hizi wanaeneza

uongo kuwa huduma zinaendelea kama kawaida.

Najiuliza uongo huu ni kwa faida ya nani?

Tunaipeleka wapi nchi hii wandugu,

ukweli uelezwe ili tatizo lipatiwe ufumbuzi.
Leo niliwakuta wagonjwa wapya wanakuja na kukaa kwanye benchi hadi wanaamua kusepa wenyewe hamna huduma hapa.Propaganda zinaendelea ila wagonjwa nao wataeleza umma ukweli na hata wa kununua wapo ila mwisho wa siku wataumbuka
 
mwendo huo huo drs. hakuna cha huruma hapa.
mkichoka nendeni magogoni mkalie
 
Back
Top Bottom