DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Dah...Kwanza nakupa heko mwalimu! Mlikuwa wapi siku zote ?

Mimi ni Mfanyabiashara hapa Moshi. Kuna siku rafiki na mfanya biashara mwenzangu alitoka Nairobi na kushukia moja ya hotel hapa Moshi ambayo nimeizoea na nimezoeana pia sana na wahudumu hasa Muhudumu counter. Na ndio sababu marafiki zangu wengi nawapelekaga kulala hapo kwenyi hii hotel wakitoka safari.

Siku hiyo nikiwa Counter namsubiri huyo rafiki yangu aingie Moshi , Ngonyani aliingia na mke wa rafiki yangu kabisa ambaye ni mwalimu Mkuu (Shule nahifazi) kuja kumshughulikia ! .NILISHTUKA,NILIUMIA , NILISIKITIKA SANA kwani huyu Shemeji yangu hawana shida yoyote na Mme wake (rafiki yangu) . Kiliniuma Sana nikajificha nikaondoka pale kwenda kulewa kwingine nikijiuliza nichuke hatua gani! Hata yule dada wa counter alishangaa nilivyo ondoka kwani alikua anajua namsubiri mgeni kutoka Nairobi!

Kwenye hili , Mwanaume nilikaa kimya KULINDA NDOA YA RAFIKI YANGU! Nilikuwa simjui Ngonyani lakini nilipeleleza tangu siku hiyo nikamfahamu vizuri ! Kumbe ni District education officer wa manispaa ya Moshi !

Jioni ya kesho yake nilirudi nikamuuliza dada wa counter akasema Ngonyani huwa anakuja na wanawake tofauti tofauti ila kwa sasa amesimama pombe. Angekuja Counter! Kwakuwa yule dada wa counter ni “Mshikaji” ikabidi nimueleze kwanini niliondoka ghafla ! Baada ya kumuambia ukweli alishangaa sana nae akaniambia ya huyu Ibilisi NGONYANI .

Dada wa counter aliniambia kuna siku alikujaga na mwanamke wakasikia kelele ndani .Baada ya muda mfupi yule mwanamke alitoka akiwa amekasarika na anajibana kulia . Kwenye vidole huyu mwanamke anapete zote za ushahidi ni mke wa mtu !Huyu mwanamke alisubiri nje ya chumba kwa muda mpaka Ngonyani alipotoka nae akiwa kakasirika na kumuangalia vibaya huyo mwanamke , Aliingia kwenye gari akajeuza aka act kama anataka kumuacha huyo mwanamke…then ndio akamfungulia mlango wa gari . Baada ya tukio Mhudumu mmbea alienda kwenye kile chumba na kukuta KY imechafua mito, mashuka Tafrani Tafrani !

Cha kushangaza , baada ya week kazaa, huyo mwanamke alirudi tena na Ngonyani . Kelele zilisikika tena. Wambea walisogea mlangoni na mnaneno ya malalamiko/maumivu ya huyu mwanamke (siwezi kuyaandika hapa) nikwamba alikuwa analawitiwa! Inamaanisha mara ya kwanza huyu mke wa watu alikataa na hakuweza. lakini pressure aliyopata huko kazini ilibidi akubali kulawitiwa .Mpaka leo wako nae!.

Inamaana kama hawa wanawake ni WALIMU na wake za watu basi anatumia mamlaka yake vibaya kulawiti wake wa wenzake ? Niliumia Sana kumuona na mke wa rafiki yangu ! That means atakuwa anamfanya kinyume na maumbile pia ? Na kama haya ni ya kweli basi achunguzwe na Haki itolewe! Basi Kama mke wako ni mzuri na ni mwalimu mkuu basi ujue Huyu SHETANI Kesha mpitia vibaya ! Pia itakuwa Inamaana walimu wazuri ambao sio WALIMU wakuu au WARATIBU atakuwa anawagandamiza Sana kwasababu wamemyima au wamekataa kulawitiwa!

1. Je wanawake ni wangapi walimu wakuu na waratibu manispaa ya Moshi?

3. Pia kutokana na taarifa hizi kutoka tayari Kesha vunja au kuweka ndoa ngapi hatarini?
4. Inamaana tangu nimuone na mke wa rafiki yangu hayo matukio yamendelea kiasi gani mpaka tumefika hapa?

Tulipataga Mtu ambaye alitutisha watanzania, Leo hii Ngonyani anatumia Mamlaka aliyo pewa kulawiti wake zetu???

Hili jambo tangu lilipo anikwa wazi nimejaribu kuongea na walimu nao wafahamu kuhusu Ngonyani kumbe kila mwalimu ana kero na huyu mtu! Mara barua kupotea ofisini kwake makusudi ili usikue kitaaluma au mpaka umuhonge chochote atakacho kiona kwako, Mara kuwatukana walimu mbele ya wanafunzi wanapo andika kuomba fulsa zilizo tangazwa kama kufundisha secondary kutokea primary etc. Kawa Mungu mweusi na walimu wanadai huwezi kuomba fulsa ambayo barua itapitia kwakwe ukabaki salama! This is sad!

INADAIWA ANA MTU TAMISEMI AMBAYE ANAMPA KIBURI NA NDIO NGUZO YAKE.

Kama huyu Mtu yupo kweli basi tunataka tujue yeye na Mama Samia nani mwenye nchi!

Je huyu mtu na uteuzi wa DEO anapata nini ?


Hata hapo Manispaa penyewe wafanyakazi wenzake wanashida na Huyu ngonyani Kisa huwa anakaimu ukurugenzi! Haikubaliki!

Na sasa hivi ana Nissan Dualis ya kwenda kuwaringishia walimu wakike, wake za watu anao wagandamiza na kuwatisha kwa kuwahamishia Msandaka na shule zingine za pembezoni ili kuwakomoa kwa kumnyima.

MWESHIMIWA RAISI, MAMA SAMIA.HAPA HATUONEI MTU.FANYA UCHUNGUZI HAKI ITOLEWE.

1. Idara ya usalama wa taifa ichunguze walimu wote ambao wamepelekwa Shule za pembezeno kama Msandaka kunani?
2. Kwanini walimu wakuu ni wengi wa kike?
3. Transaction zake za hela: benki,mobile money etc
4. Huyo kibosile wake wa tamisemi afukuzwe pia

WeWe Ngonyani,Huyo mke wa rafiki yangu tunaheshimiana nae Sana . Wanapendana Sana na Mme wake ! Ila Uwalimu mkuu ndio umemuuza kwako ! Unacho mfanyia jibu utapata kama ukiendelea kubaki Moshi hii! MIMI NI MWANAUME,NIMEKAA KIMYA KULINDA NDOA YA RAFIKI YANGU!SIO KUKULINDA WEWE .



Mama Yetu Samia upo!

HILI JAMBO HALIITAJI CHADEMA! UNAWEZA MAMA

1. Pia mama Yetu Samia,angalia pia uteuzi wa nafasi za waratibu, walimu wakuu,etc unavyo fanywa

2. Pia kwanini mwalimu mkuu asipigwe kura na walimu wenzake washule hiyohiyo ili kuacha ubosi na kuwa mtumishi?Walimu watamchagua wanae mjua mwenendo wake badala ya kuletewa mwalimu kutoka shule nyingine kuja kuwa bosi kisa katumika kingono au kaonga hela?

Mama Samia Shikamoo.Ahsante.

#Mtanzania
Duuuh ulawitii umekua mkubwaa sanaa khaaaah.
Mbna hatareee hii lol.
 
Huyu ni wa kumfanya hivi tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1680551738685.jpg
    FB_IMG_1680551738685.jpg
    13.9 KB · Views: 6
Tanzania usije ukajiloga ukatumia mtu wa serekalin email imekula kwako inaonekana kiumri bado mdogo ndo maana unaropokaropoka na kuchukulia mambo kirahisi
Uko halmashauri ukijifanya mjuaji wanakuondoa
Umri siyo kigezo just a number, lakini unashindwa nini kuandika barua ukatuma posta chini unaandika sisi watumishi bila kutaja jina lako kuna shida gani?
 
Hili suala ni very sensitive ila naona mamlaka zimekaa kimya au jamaa hagusiki kama yeye mwenyewe anavyopendaga kusema kuwa yeye hakuna anayeweza kumgusa.
 
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI.

Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko makubwa kwa kuona kada yangu ya Elimu inachafuliwa kwa uzembe na tamaa za uongozi.

Yafuatayo ni baadhi ya Maudhi ambayo yamefanyika katika Halmashauri ya MANISPAA YA MOSHI katika Idara ya Elimu.
  • Kuomba pesa kwa Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata kiwango cha kuanzia Tsh 100,000 hadi 200,000/=
  • Kutembea Na Baadhi Ya Walimu /Wake Za Watu Mfano shule za Uhuru,Kiboriloni,Mjipya,Kibo na Karanga
  • Kutoa nafasi za uongozi – Uratibu /ukuu kwa kupokea rushwa ya ngono na fedha, fuatilieni mkuu wa Kibo S/Msingi.
  • Kupeleka miradi kwenye shule za marafiki zake tu ili apate 10% ya fedha za mradi ( kwa kurudiarudia mfano Shirimatunda /Uhuru /Mgereza/Pasua /Njoro)
  • Kutishia, kufadhaisha na kuwatesa walimu kwa kuwafungia mishahara kinyume na sheria ya Utumishi wa Umma- Ushaidi upo.
  • Kutumia ofisi vibaya kwakujilipa posho bila kufanya kazi – Safari za mara kwa mara – kwenda Handeni ,Dodoma na Dar-es-saalam, safari binafsi kwa gharama za serikali.
  • Kuwanyanyasa na kuwakandamiza watumishi walio katika idara ya Elimu kwa kuwatishia kuwaondoa pale ofisini.
  • Kutumia Walimu Wakuu ambao ni Wanawake zake kuwaonea na kuwakandamiza walimu waliopo chini.
  • Kuwanyima walimu ruhusa wakati ni haki ya kimsingi na kuwahamisha baadhi ya walimu kwa mchongo apate pesa, wanagawana fedha ya uhamisho na wanaohamishwa.unakuta mwalimu mmoja anahama hata mara tano kwa muda mfupi. Mfano Mwl Hando.
  • Haelewani na wakuu wengine wa idara kutokana na tabia zake hizo mbaya katika Manispaa ya Moshi.
  • Kuficha Maovu wanayofanya wazazi kwa Mabinti zao,wapo watoto wa kike wanalawitiwa na wapo watoto wa kiume wanaonajisiwa lakini kesi zikipelekwa kwa Afisa Elimu anazizima kwa kuchukua rushwa kwa wazazi hao ushahidi upo..
  • Kuna wanafunzi wa shule za msingi wakipata mimba wanashawishiwa watoe ili kulinda nafasi yake hataki ijulikane uchafu uliopo Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu..walimu tunaumia sana kuona kizazi kinaharibiwa eti tu kisa kuhofiwa cheo chake kuchafuka..Hafai mtu huyu, uchunguzi ufanyike yatabainika maovu haya..
Mimi ni mtumishi wa Mungu kwani ningekaa kimya wakati naona yanayotokea ni kujitengenezea dhambi mwenyewe.

Mungu atende miujiza kunusuru Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu Kwa haya Maovu.

Walimu tunaunga mkono juhudi za Mama yetu Samia Suluhu Hassan na ofisi yako kwa ujumla
Pole sana mwl. ila ukireport huku usiache kureport na Wizaran kuwa sehemu ya kuwasilisha malalamiko, usiache pia kuandika email kwa waziri wa elimu, CC. TAKUKURU a hata kwa rais, wanafanyia kazi. Ukiwa na lalamiko lolote hakikisha unareport wizara husika mimi nimereport la kudhulumiwa ardhi na wamefanya kazi
 
Pole sana mwl. ila ukireport huku usiache kureport na Wizaran kuwa sehemu ya kuwasilisha malalamiko, usiache pia kuandika email kwa waziri wa elimu, CC. TAKUKURU a hata kwa rais, wanafanyia kazi. Ukiwa na lalamiko lolote hakikisha unareport wizara husika mimi nimereport la kudhulumiwa ardhi na wamefanya kazi
TAKUKURU unaijua au unaisikia? Hujamsikia JPM aliposema TAKUKURU pia inabidi waundiwe TAKUKURU yao? Wasumbufutu hao
 
Naomba JF ifuatilie kwa karibu hili jambo, huyo mtu aondolewe haraka. Anakatisha tamaa waalimu. JPM alipinga kwa nguvu zote haya mambo "unanijua mimi ni nani?"
 
Mimi nilijua ni hapa Rungwe tu walimu kushika chuchu za watoto wa shule na kesi kuishia ofisi za kata.

Kumbe hadi huko Moshi yapo.

Ngazi ya chini ya mkurugenz sijui kazi yake ni nini?

Maana siku hizi #MEDIA ina maamuzi kulko hao viongozi..

Tupaze sauti tuone anacholingia ni nini?
 
Moshi manispaa Huwa ina mkosi!

Kuna Ded aliyetoka Mwanga ,kama anamfahamu DC wa Mafia, anyooshe kidole.

Tunafuatilia viruko vyao, tabia zao, mahusiano yao, mwenyendo wao, ndoa zoa na urafiki wao.

Siku chache zijazo tutaziweka Jf,ili watanganyika waeze kujua tumepigwa na kitu kizito!
 
Majungu huwa yapo ila hizi tuhuma jinsi zimeandikwa zinaonesha ni kweli kwa kiasi fulani. Ni vizuri huyo dingi wamuhamishie kijijini, watu wa Moshi asilimia kubwa kwenye ukweli wananyoosha.
 
Lakini mengine umechapia mwalimu unachuki na huyo afisa na wewe siyo mtumishi wa Mungu kama ulivyojinasibu mtu wa Mungu hawezi andika haya uliyo andika Kwa maana unaonesha unachuki siyo ubapenda haki hapana je umemfuata ukamwonya kama mtumishi wa Mungu?
Wewe ni mpumbavu sana tena kada wa CCM kabisaa.......mods naomba nisipigwe BAN nimepitiwa
 
Back
Top Bottom