Elections 2010 Unyumba wa Dk. Slaa wamfanya Benno Malisa wa UVCCM kuzomewa Geita

Mongoiwe

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
524
263
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max.

Kilishomponza Malisa ni kuwaambia wananchi wa Geita kuwa Dk. Slaa ni Paroko aliyeshindwa kuongoza kanisa sasa anataka kuongoza nchi, na kueleza MAANA YA NENO FISADI kwamba Kenya wanatambua kuwa Fisadi ni MTU ANAYETEMBEA NA WAKE ZA WATU, Hivyo kumtaja Dk. Slaa ni Fisadi namba moja kwa vile ndiye aliyepora mke wa mtu.

Baada ya kutamka maneno hayo umati wa wananchi uliokuwa umejaa katika kiwanja cha Kalangalala mjini Geita ulianza kumzomea na na kuonyesha alama ya vidole viwili (Vyema).
 
Very Good. Sisi Watanzania MWAKA HUU WA 2010, HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!!
Watanzania wameanza kuamka
Keep us updated
 
Huyo swaiba wa riz1 a.k.a kusay sadam bado ana akiri za kitoto,max anayemnadi hachaguliki
 
Beno Malisa cut the fuc...en crap. Hivi humjui anayeongoza kwa kuchukua wake za watu nchi hii??? Kuna kafamilia ka mfanyabiashara maarufu kamepotea hivi hivi.....au tuanze kuuliza maswali......cut the c...
 
Huyo malisa naye ameathirika na kikweteism,kwanini wagumu kusoma alama za nyakati hivyo?
 
Hivi benno amekosea nini? yeye anafanya aliyotumwa maskini wa mungu, kumkashifu ni kumuonea tu!!!
 
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max.

Kilishomponza Malisa ni kuwaambia wananchi wa Geita kuwa Dk. Slaa ni Paroko aliyeshindwa kuongoza kanisa sasa anataka kuongoza nchi, na kueleza MAANA YA NENO FISADI kwamba Kenya wanatambua kuwa Fisadi ni MTU ANAYETEMBEA NA WAKE ZA WATU, Hivyo kumtaja Dk. Slaa ni Fisadi namba moja kwa vile ndiye aliyepora mke wa mtu.

Baada ya kutamka maneno hayo umati wa wananchi uliokuwa umejaa katika kiwanja cha Kalangalala mjini Geita ulianza kumzomea na na kuonyesha alama ya vidole viwili (Vyema).

Kwanza inabidi ashitakiwe kwa kuzungumzia suala ambalo liko mahakamani. Si ndivyo Jaji Mkuu Brigedia Jenerali Augustine Ramadhani alivyotaadharisha!
 
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max.

Kilishomponza Malisa ni kuwaambia wananchi wa Geita kuwa Dk. Slaa ni Paroko aliyeshindwa kuongoza kanisa sasa anataka kuongoza nchi, na kueleza MAANA YA NENO FISADI kwamba Kenya wanatambua kuwa Fisadi ni MTU ANAYETEMBEA NA WAKE ZA WATU, Hivyo kumtaja Dk. Slaa ni Fisadi namba moja kwa vile ndiye aliyepora mke wa mtu.

Baada ya kutamka maneno hayo umati wa wananchi uliokuwa umejaa katika kiwanja cha Kalangalala mjini Geita ulianza kumzomea na na kuonyesha alama ya vidole viwili (Vyema).

Huyo jamaa mwehu kweli. Kwani hapa ni Kenya? Au bado ana mawazo ya kijinga kwamba Watanzania mazuzu?
 
mtu aliyeishiwa sera utamjua tuu.. wepesi sana wa kuhukumu wenzao wakati wa kwao ni zaidi na ushahidi upo kibao.
Mwaka huu watakiona. Hakuna kulala..
 
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max.

Kilishomponza Malisa ni kuwaambia wananchi wa Geita kuwa Dk. Slaa ni Paroko aliyeshindwa kuongoza kanisa sasa anataka kuongoza nchi, na kueleza MAANA YA NENO FISADI kwamba Kenya wanatambua kuwa Fisadi ni MTU ANAYETEMBEA NA WAKE ZA WATU, Hivyo kumtaja Dk. Slaa ni Fisadi namba moja kwa vile ndiye aliyepora mke wa mtu.

Baada ya kutamka maneno hayo umati wa wananchi uliokuwa umejaa katika kiwanja cha Kalangalala mjini Geita ulianza kumzomea na na kuonyesha alama ya vidole viwili (Vyema).
Du!:A S 13: hii mijamaa kweli imezoea Kudanganya, FISADI Kenya ni Mtu wa kuogopa katika serikali yao leo jamaa anatuambiaaa...
 
Hivi benno amekosea nini? yeye anafanya aliyotumwa maskini wa mungu, kumkashifu ni kumuonea tu!!!
Acid unaniacha hoi, mtu mzima na akili zako waweza fanya chochote unachotumwa bila kufikiri, mengine yaweza kukurudia, mpinge anaekutuma ukiona chaweza kukuangamiza. CCM na Kikwete wamepoteza dira wanatapatapa! Endeleeni kuzomea.
 
Safari hii hatudanganyiki

Huyu zezeta malisa na rizi one wake wamezoea kuwalaghai uvccm hadi wakamtosa m'kiti wao masauni, na kwa staili hiyo anafikiri sisi ni punguwani wa kudanganywa kirahisi eti fisadi ni mtu anayechukuwa wake za watu, ujinga huo akawaeleze akina kinana, makamba, miraji, rostam, lowasa, kikwete, salima na mafisadi wengine siyo sisi KAMWE HATUDANGANYIKI HUKUMU YENU 31/10/2010 TUTATUMIA KISANDUKU KUWANYONGAAAAAA PIPOOOOOOZ PAWAAAAAAAAA:rain:
 
guuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuud,slaa gooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hii karata ya 'kupora mke wa mtu' CCM wamejaribu kuicheza kwa kutumia magazeti ya kipuuzi kama Mtanzania na Rai, lakini wapi! Naona kweli watanzania sasa wameamka. Tunataka Rais mwenye uthubutu wa kuzuia uporaji wa raslimali zetu, basi. Sisi hatujali kama ana hawara au anatembea na mke wa mtu. Tumegundua kwamba huyu anayetaka tena miaka mingine mitano hana uwezo wa kuzuia uporaji wa raslimali zetu kwani waporaji ni marafiki zake wakubwa. Sasa anataka tumchague ili....?? NGUVU YA UMMA ndio silaha yetu pekee katika kuondokana na unyonyaji huu unaotufanya tuwe maskini katika nchi tajiri.
 
Kama fisadi ni kuchukua wake za watu slaa hajafikia kwa sbb amechukua mmoja.atuambie mgombea wake mpaka sasa kachukua wangapi?
 
Back
Top Bottom