Unlock tigo and airtel new modems temproraly 100% working plus proof!

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Habari zenyu wana jamii kama kawa nimekuja na vitu ni share na wanajamii wenzangu nimeona ili tatizo hau hii kitu kimetesa sana watu sana

sana walionunua modem za tigo hivi karibun na kutaka ku unlock kuweza kutumia airtel well it is possible lakini hii ni temporarily lazima ufaute

some procedures and ur good to go procedure easy na kadogo 2 hii kitu nakumbuka kilishaelezewa hapa na mkuu SHAROBARo but kukawa

na som issues missing au kutokueleweka kwa njia moja au nyingine ambapo tatizo ilikuwa ni kwenye kuupdate FIRMWARE well hii procedure ni

takayotoa hapa hauta update firmware utaitumia hyo hyo and it will work nimeambatamisha maelezo na picha apo chini ili iweze kueleweka

modem ninayozugumzia ni huawei e153 model(e153u-1) ambayo ni customized firmware au kwa namna nyigine ni kuwa haiwezi kunlokiwa

kwa njia zile za mwanzo za kawaida au ku permanately unlock it... sasa kwanza weka line ya airtel kwenye modem then i connect na computer

yako then utaona imeleta message ifuatayo;

unlock 1.JPG

ambapo ndo inakujulisha kuwa hauwezi tumia line tofauti na ya tigo ok close iyo message then funga iyo mobile patner ya tigo hakikisha

umeifunga kabisa

Then download hii software kutoka hapa Download Modem Unlock Com Huawei Unlocker usb driver zip apo chagua free download and utaingiza code utasubiri kwanza kwa 40 seconds then utaclick download then utasubiri kwa 10 seconds and the itaanza kudownload ikishamaliza extract then open it halafu fuata maelezo hapo chini;

unlock 3.JPG Apo click refresh kama mara mbili


unlock 4.JPG

Apo select COM 17


unlock 5.JPG

Alafu click READ MDM na itasoma maelezo yote na automatically itacalculate unlock and flash code kwa kusoma imei

SASA the first thing ambacho tunatakiwa kufanya ni kui counter reset ambapo hizi modem zote zimekuwa counter blocked so hapa ni muhimu sana chakufanya

unlock 6.JPG
Click kwenye Reset counter then click service

unlock 7.JPG

Utasubiri kidogo na itakuambaia kuwa Success resseting counter hapo utakuwa ushafanikiwa kui reset counter

Then sasa twaja mahali muhimu kwanza

unlock 8.JPG

Click unlock modem then SERVICE

kisha italeta hivi

unlock 9.JPG

As u can see nimezugushia maneno hayo kuwa imesema imegoma yani imesema kuwa sim in modem is NOT accepted na pia unlocking is UNSUCCESSFULl yani haijakubal.. dont worry hii lazima itatokea hivi then

SASA rudi tena kwa kuclick UNLOCK MODEM then SERVICE tena the subiri kidogo and sasa italeta hivi

unlock 10.JPG

Sasa inasema SIM in modem is ACCEPTED na pia inasema kuwa ONLY TEMPRORAY UNLOCK na pia kuwa modem will relock after.. inamaanisha

ukichomoa modem itajilock tena so what to do ni kufungua hii software na kuclick UNLOCK MODEM then SERVICE kama izo picha nne zilizo pita and

then ukiona imekwisha kwambia kama apo juu chakufanya nikufungua mobile patner ya tigo and use it as long as hauchomoi modem

SASA mpaka apo ur good to go na as u can see ukifungua mobile patner hailet error tena kama apo chini

unlock 11.JPG

As u can see ime unga na network ya AIRTEL na nimeiconnect and imekubal na ndiyo ninayotumia kuiandika hii thread na ucishangae mbona hamna

mnara ipo lakini my pc always inaonyeshaga minara mmoja au miwili au la kabisa but minara ikofull na naweza kuconnect

OK I HOPE MTAFANIKIWA AND UKIKWAMA KOKOTE USISITE KUULIZA AND UTASAIDIWA vile vile package ya airtel ni 2500/= ambapo weka

salio hyo kwenye 4ne and tuma msg yenye neno intaneti kwenda 15444 utapewa msg utanconfirm utajibu ndiyo and ur good to go ambapo

package hyo unapta 400mb kwa siku 30 vile vile ikifika saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi airtel ni free kabisa ambapo unapata

200mb CHEERS! people am out.
 
Ebwana wakuu nahtaji msaada kidogo, nna Modem yangu ya Zantel, siku moja nilimuomba jamaa mmoja anisaidie kui-unlock akaniambia haiwezekani kui-unlock kwasababu inatumia Chip aina ya UIM badala ya GSM..vipi mnaweza kunisaidiaje hapo?? Ni kweli haiwezekani au uwezo wa jamaa uliishia hapo??
By the way Modem yenyewe ni Huawei but unfortunately nimesahau Model number yake.
 
Ebwana wakuu nahtaji msaada kidogo, nna Modem yangu ya Zantel, siku moja nilimuomba jamaa mmoja anisaidie kui-unlock akaniambia haiwezekani kui-unlock kwasababu inatumia Chip aina ya UIM badala ya GSM..vipi mnaweza kunisaidiaje hapo?? Ni kweli haiwezekani au uwezo wa jamaa uliishia hapo??
By the way Modem yenyewe ni Huawei but unfortunately nimesahau Model number yake.
Ndiyo he was rite yani apo kama itaweza kuwa

unlocked au labda pia haiko locked kwa tanzania utaweza tumia TTCL, SASATEL basi hamna njia ya kuibadilisha itumia GSM iyo ni hadware issues

so sorry mkuu.
 
mdau umenisaidia sana kwa hili, thanks...ila ANGALIZO hapo kwenye kuchagua COM PORT si laizma mara zote ije COM17 kama haitatokea COM 17 unaweza click pale palipoandikwa DEVICE MANAGER kisha itafunguka device manager, click kwenye PORTS (COM & LPT) kisha utaona kwenye mabano namba sahihi then unakuja kuchagua mojawapo kati ya utakazoziona.....!! otherwise BIG UP kwa kutujuza...!
 
mdau umenisaidia sana kwa hili, thanks...ila ANGALIZO hapo kwenye kuchagua COM PORT si laizma mara zote ije COM17 kama haitatokea COM 17 unaweza click pale palipoandikwa DEVICE MANAGER kisha itafunguka device manager, click kwenye PORTS (COM & LPT) kisha utaona kwenye mabano namba sahihi then unakuja kuchagua mojawapo kati ya utakazoziona.....!! otherwise BIG UP kwa kutujuza...!
Yeah exactly mkuu.

We mkareeee!!! nice share bro..lets chakachua and we will come back with full details!!

Pamoja sana naingojea feed back yako
 
yeah i have dat lakini its bad for customers i need da full 1 hau mpaka tupate the release of new firmwire updates>>>[let us hack it for funs]
 
join air ya ukweli for zte users eg vodacom etc je jinsi ya ku write hiii read only drive:vodafone USB SCSI CD-ROM_ILE INAYOKUA NA SETUP YA VODAFONE LITE kusudi niweze weka nyigngine
 
Duh, sisi wabongo kwa kuchakachua ni noma, tunachakachua kura, mafuta na sasa modem
 
Duh, sisi wabongo kwa kuchakachua ni noma, tunachakachua kura, mafuta na sasa modem

This is how super China kick-started its economic revolution!! Playing with what is underneath the bonnet in technology is a must, especially when you are at initial stages of building a sound tech savvy base of youngsters!!!
 
Ahsante kwa maujanja,ila nina maswali kidogo naomba unisaidie.
1.ninatumia modem ya airtel HUAWEI E 153u-2,Je na hii pia yaweza kuwa unlocked kwa njia hii?
2.katika port ntachagua application interface au PC UI interface?
3.Na ikiwezekana kuwa unloCKED itakuwa temporary,kwamba nikitoa itarudi kuwa airtel,na nikitaka kutumia tigo ama voda means ni unlock tena???
PLZZZZZZZZZZZ NAOMBA UNISAIDIE KWA HAYO
 
huu sasa mziki mkubwa yani ukichomoa tu, ukirudu uanze upya ...bora ninunue airtel tu
 
Back
Top Bottom