Albendazole
Member
- Jul 21, 2021
- 34
- 66
Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu.
Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana karibu kila mtu anatafuta namna ya ku-solve au kutatua, wengi now days tunatumia kwa mawasiliano, kujifunza kwa biashara na kadhalika.
Kwa ambao wamewahi tumia zile unlimited bundle ambazo asilimia kubwa zinatumika sana sana kwenye taasisi kubwa kama ma-hospitali, vyuoni, hotel nk sometimes wanatumia Ethernet wire ambao umeunganishwa kwenye kila computer, sometimes wanatumia rooter ili kila mtu aweze ku access via Wi-Fi utaratibu wake na gharama zake zikoje?
Na what if kama nahitaji hiyo huduma kwa matumizi ya familia Nyumbani au kwenye number yangu peke yangu nikiwa popote pale, Je inawezekana? And how? Na kwa kulinganisha huduma za mitandao yetu ya simu Voda, tigo, hallotel na TTCl kupi kwenye uafadhali kwa ambao waliwahi tumia au bado wanatumia?
Nawasubiri wajuzi wa mambo!! Mje na majibu