Unlicensed Spectrum / Frequency

BrainPower

Senior Member
May 19, 2009
146
1
Habari za Jioni Ndugu zangu,

Hivi, kuna mtu ambaye anafahamu the recognized unlicenced frequencies in Tanzania ?

Sasa hivi ninatumia 2.4GHz kwa ajili ya WLAN lakini inanipa shida ile mbaya. Kuna interference sana. Haswa hapo city center -> Posta hapooo. Mitaa ya Pugu, Airport , Mbezi wala ! sina Shida ila hapo katikati usiulize ?

Ninafahamu nchi nyingi wana 2.4 GHZ (specifically, 2.4-2.4835) and 5 GHZ(specifically, 5.15-5.35, 5.47-5.725, and 5.725-5.875) Bands unlicenced.

I wonder about Tanzania.

Asante,

B.P
 
Nadhani Unlicensed frequency ni worwide standards. Na Tanzani kama nchi changa haiwezi kutumia nje ya hizo ulizotaja. na nina hakina ni 2.4 GHZ.

Sababu ni unlicenced kama uko sehemu yenye traffic nyingi lazima kutwakuwa na inteference kwa kuwa Watu wengi na ISP wengi wanazitumia. Cha kufanya ni kujaribu Kuweka channel ya hiyo Access Point kwenye Auto au set channel yeyote specific isiyokuwa default.
 
Mkuu, hizo ulizozitaja hapo ndio unlicensed frequencies hata hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom