universal MODEM

mja

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
310
64
Waungwana

Natafuta MODEM ambayo naweza kutumia mitandao yote, yaani naweza badilisha SIM card nikatumia ama VODA, TIGO, AIRTEL au ZANTEL, any idea nitapata wapi?
 
Kuna Jamaa anauza za Safari Com ni Universal ndo niyatumia hapa nimeweka Sim Card ya Air Tel lakini pia naweza kuweka ya Tigo au Mtandao wowote. Jamaa yupo Mkoa mmoja wapo huku kaskazini!!!
 
thanks friends, let me go to airtel ili nione kama nitafanikiwa.
babaubaya, je jamaa yuko mkoa gani, arusha???
 
thanks friends, let me go to airtel ili nione kama nitafanikiwa.
babaubaya, je jamaa yuko mkoa gani, arusha???

Moshi, Pale Leopard Hotel ndo ofic yake ilipo. I can u his Number if u wish!!!
 
babaubaya naomba price ya hizo modem kama itawezekana

Mi nilinunua 75,000/= ni muda kidogo, Sijui kwa sasa lakini kama imepanda basi ni kidogo tu coz kuna mtu pia nilimwunganisha amenunua siku za karibuni kwa bei hiyo!!
 
kwanini usinunue yeyote alafu uchakachuliwe hapa free kwanini kusumbuka mana atakayekuuzia lazima atakuwa ametoa lock bei itakuwa juu lakini ukinunua mwenyewe ukachakachuliwa hapa ni free
 
Waungwana

Natafuta MODEM ambayo naweza kutumia mitandao yote, yaani naweza badilisha SIM card nikatumia ama VODA, TIGO, AIRTEL au ZANTEL, any idea nitapata wapi?
Nenda pale Mlimani City kuna duka la simu karibu na lango la Shoprite supermarket zipo wenyewe wanauza elfu themanini
 
kwanini usinunue yeyote alafu uchakachuliwe hapa free kwanini kusumbuka mana atakayekuuzia lazima atakuwa ametoa lock bei itakuwa juu lakini ukinunua mwenyewe ukachakachuliwa hapa ni free

Unachakachuaje???????????????????!!!!!!!!!
Mie ninayo ya zantel, hizi mpya za CDMA. Hebu nipeni shule nami nikachakachue. Waweza kunitumia procedure ktk PM
 
Back
Top Bottom