Unguja: Jambazi lauawa na Pingu mkononi

Piga ua kabisa

Hawa watu hawana huruma, na hawafai kupelekwa Mahakamani kwani huko lazima watatoka na kuendelea kuuua.

Hivyo jambazi ni bora kuwaua hakuna kupeleka Mahakamani.

Hongera sana Jeshi la Polisi ZNZ kwa kuwaua Majambazi.

Na kazi hii iendelee na kuwaua wezi wote wa Pesa za ESCROW pamoja na EPA.

MIZAMBW
INANIUMA SANA!!!
 
swali la msingi kua mbona jambaz amepigwa risasi wakati akirushiana risasi na mpolisi huku amefungwa pingu? pingu amefungwa saa ngapi? na nani?
 
Sijui kwanibi Hutu jamaa hataki kutoa majibu kaulizwa nawatu kibao swali kama hili lakibi kimya! au na yeye ni .....( )?
 
Mbona kuuwawa jambaxi huku pingu zikionekana hakungumziwi ? Ni kwa vipi huyu jambazi mwenye pingu mkononi alikuwa anarushiana risasi na polisi ?
Nani alimfunga pingu ?
Kama alikuwa kwenye gari ya majambazi hawezi kuwa jambazi labda alikuwa ni mteka wa hao majambazi
Kuna maswali mengi yanahitaji kujibiwa kwa polisi kumpiga risasi MTU mwenye pingu mkononi ati ni jambazi.

ni ndugu yako?
 
hakuna haja ya kuhoji, polic kaz nzur hongeren sana,wanaohoj labda ni miongon mwao jambaz msikie tu akikukuta ndo ushetan wake utaufaham.
 
Kutoka visiwani Zanzibar taarifa za hivi punde zinasema kumeibuka mtafaruku mkubwa kufuatia uwepo wa mashambuliano ya risasi baina ya watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi wakipambana na Jeshi la Polisi katika eneo la Darajani.

Mazrui media hatupo mbali na tukio hili kuwajulisha kinachojiri.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Habari yako haieleweki, hiyo silaha aliwezaje kutumia huku akiwa na pingu?
 
Aliyeuawa ana pingu mkononi. Inamaana bado alikuwa na silaha?

mahakamani watu hawaendi kutoa ushahidi matokeo yake wanaachiwa kwa kukosa ushahidi upande wwa mashtaka.. bora polisi wawahukumu tu.. kazi nzuri polisi zenji
 
Mbona kuuwawa jambaxi huku pingu zikionekana hakungumziwi ? Ni kwa vipi huyu jambazi mwenye pingu mkononi alikuwa anarushiana risasi na polisi ?
Nani alimfunga pingu ?
Kama alikuwa kwenye gari ya majambazi hawezi kuwa jambazi labda alikuwa ni mteka wa hao majambazi
Kuna maswali mengi yanahitaji kujibiwa kwa polisi kumpiga risasi MTU mwenye pingu mkononi ati ni jambazi.

unafikiri ukipigwa pingu mikono haifanyi kazi asilimia 100??je kama alimtime askari na kuchomoa bunduki hawezi kulenga na kufyatua?unapokuwa jambazi ni saw a na kazi nyingine yoyote yenye risk..either you kill them or they kill you...bora tu wafe
 
Ni assumption yako hiyo lakini haijibu swali !
Nani alinfunga pingu huyo jamaa ?
Alifungwa kabla ya tukio la kupigwa risasi au baada ?
Maana Kama alikuwa ndani ya gari la majambazi huku akiwa kafungwa pingu akili yangu inakataa kwamba atakuwa jambazi labda alikuwa ni mateka tu ...
Swala risk ya kuua au kuua sicho msingi wa hoja kinachohojiwa ni "jambazi" kuuawa kwenye tukio la uhalifu huku likiwa na pingu mkononi.
 
hakuna haja ya kuhoji, polic kaz nzur hongeren sana,wanaohoj labda ni miongon mwao jambaz msikie tu akikukuta ndo ushetan wake utaufaham.

Ndugu yangu kwa akili yako unaamini kuwa jambazi aweza kwenda kufanya ujambazi wake huku akiwa amejifunga pingu ?
Kinachohojiwa ni kuuawa MTU ambaye amefungwa pingu mkononi huku wakisema alikuwa jambazi anayepambana na polisi.
Wewe wataka polisi wasifiwe kwa kuua binadam aliyefungwa pingu ?
 
Hapa hakuna msemaji mkuu wa jeshi la polisi,huwezi kupata jibu hata mimi najiuliza kuwa labda polisi wameteleza
 
swali la msingi kua mbona jambaz amepigwa risasi wakati akirushiana risasi na mpolisi huku amefungwa pingu? pingu amefungwa saa ngapi? na nani?

Yawezekana kuna wenzie walikuwa wanajaribu kumuokoa na yeye akawa anakimbia na pingu mkononi, mbinu hiyo ipo. Haya majitu ni hatari sana
 
Mbona kuuwawa jambaxi huku pingu zikionekana hakungumziwi ? Ni kwa vipi huyu jambazi mwenye pingu mkononi alikuwa anarushiana risasi na polisi ?
Nani alimfunga pingu ?
Kama alikuwa kwenye gari ya majambazi hawezi kuwa jambazi labda alikuwa ni mteka wa hao majambazi
Kuna maswali mengi yanahitaji kujibiwa kwa polisi kumpiga risasi MTU mwenye pingu mkononi ati ni jambazi.
Kama haungetaka auliwe asingekuja kuja zanzibar kuiba kwa kutumia silaha.Hata wewe kama unataka kufa njoo na silaha utamani kuiba.hapa hatuna hukumu nyengine ya muhalifu ila Kifo.Maana sisi hatumiliki silaha sasa yeye kaipata wapi na kwa kazi gani.
 
Back
Top Bottom