Ungependelea Chama gani kiwe chama kikuu cha upinzani baada ya CHADEMA kuchukua Nchi?

masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
864
Wasalaam wakuu? Naomba nijibiwe swali langu kama lilivyo hapo juu? Vyama viko vingi sana,NCCR-CUF,UDP,CCM,CHAUMA,DP,TLP,ADC na vingine vingi unaweza ongezea(Japo chama kikuu cha upinzani huja kutokana na idadi ya wabunge wa chama husika)
 
Kwa akili yako ndogo unaamini CHADEMA kinaweza kuchukua nchi hii chama cha kikanda chama cha maandamo chama cha kichaga chama kinacho amini kwa kufukuzana viongozi wao chama kinacho amini ili ugombee wenyekiti au urais lazima upate baraka toka kwa Mzee MTEI ndipo ugombee vinginevyo utaonekana wewe ni msaliti mpenda vyeo kama kweli chadema ikishinda ntajua mwisho wa dunia umefika!
 
Chadema ikichukua nchi hatutaki vyama vya siasa tena, vinatugharimu sana,
futilia mbali vyama vya siasa, tutengeneze mfumo wetu wenyewe utakaofaa kuendesha nchi hii...
 
Kwa hiyo mtarudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Kwa akili yako ndogo unaamini CHADEMA kinaweza kuchukua nchi hii chama cha kikanda chama cha maandamo chama cha kichaga chama kinacho amini kwa kufukuzana viongozi wao chama kinacho amini ili ugombee wenyekiti au urais lazima upate baraka toka kwa Mzee MTEI ndipo ugombee vinginevyo utaonekana wewe ni msaliti mpenda vyeo kama kweli chadema ikishinda ntajua mwisho wa dunia umefika!

Stay tuned
 
Kwanza CCM itakufa!pili walioko CCM wasio na kashfa ya ufisadi wataunda chama kipya!hicho ndicho kitachokuwa na nguvu na kitakuwa chama kuu cha upinzani!hivi ambavyo vipo vitabakia kulamba viatu vya Chadema!
 
Nafikiri chama kile cha Mtikila kinafaa sana kuwa chama kikuu cha upinzani maana CCM baada ya 2015 itafutwa na viongozi karibu wote wataelekezwa the hague kuhukumiwa wakiongozwa na baba Ritz moko!
 
Chadema .. kamwe na haitokuja kutokea kuchukua nchi.. uzuri ni kwamba wananchi wameamka na kujua true colors za hiki chama..
 
Mimi napenda vyama vingine vyote viwepo ila ccm ife kabisa! Silipendi chama hili jamani.
 
Nafikiri chama kile cha Mtikila kinafaa sana kuwa chama kikuu cha upinzani maana CCM baada ya 2015 itafutwa na viongozi karibu wote wataelekezwa the hague kuhukumiwa wakiongozwa na baba Ritz moko!

Mtikila ana sera nzuri sana ila hauna ushawishi tena na kama atawezesha chama chake kuwa na wabunge wengi bs atalamba dume,CCM imemfanya mzee wa watu aonekane hamnazo(sio tusi) kisa anasema ukweli na sasa mchezo huo huo wanataka kuuleta kwenye vyema vyenye nguvu bungeni kama Chedema na Cuf ili vionekane havina mashiko wala dhamira yakuwatumikia wananchi
 
Kwa akili yako ndogo unaamini CHADEMA kinaweza kuchukua nchi hii chama cha kikanda chama cha maandamo chama cha kichaga chama kinacho amini kwa kufukuzana viongozi wao chama kinacho amini ili ugombee wenyekiti au urais lazima upate baraka toka kwa Mzee MTEI ndipo ugombee vinginevyo utaonekana wewe ni msaliti mpenda vyeo kama kweli chadema ikishinda ntajua mwisho wa dunia umefika!

Huyu Jamaa ananitafutia ban. Hawa watu waliolelewa kwa pesa za ufisadi wanashida mno, na kwa taarifa yako ------ ameiagiza TISS ifanye uchunguzi wa kina ili kubaini ndani ya CCM ni nani anakihujumu chama kwani uwezekano wa kushinda 2015 haupo tena. Tiss wamemjibu kuwa njia pekee so far ya CCM kushinda ni kuchelewesha mchakato wa katiba mpya. Otherwise wamesema nchi ni ya chadema na lazima iwe hivyo ili kuzua umwagaji damu unaoweza kutokea endapo wananchi watapokwa haki yao.
Kichuli lazima uelewe kuwa maendeleo huenda na mabadiliko, hata katika maendeleo ya kisiasa watu huitaji kuona utofauti
 
Wasalaam wakuu? Naomba nijibiwe swali langu kama lilivyo hapo juu? Vyama viko vingi sana,NCCR-CUF,UDP,CCM,CHAUMA,DP,TLP,ADC na vingine vingi unaweza ongezea(Japo chama kikuu cha upinzani huja kutokana na idadi ya wabunge wa chama husika)
kwa mwenendo huu walioujenga ccm, chama kikuu cha upinzani kitakuwa CUF,kwa sababu udini unaopaliliwa na ccm,wanajidanganya kwamba waislam ni wao wanashindwa kujua kwamba ,kwa matendo wanayowafanyia wote wataamia CUF na wao watabakia na wakristo wachache maana ccm sio chaguo la leo
 
Huyu Jamaa ananitafutia ban. Hawa watu waliolelewa kwa pesa za ufisadi wanashida mno, na kwa taarifa yako ------ ameiagiza TISS ifanye uchunguzi wa kina ili kubaini ndani ya CCM ni nani anakihujumu chama kwani uwezekano wa kushinda 2015 haupo tena. Tiss wamemjibu kuwa njia pekee so far ya CCM kushinda ni kuchelewesha mchakato wa katiba mpya. Otherwise wamesema nchi ni ya chadema na lazima iwe hivyo ili kuzua umwagaji damu unaoweza kutokea endapo wananchi watapokwa haki yao.
Kichuli lazima uelewe kuwa maendeleo huenda na mabadiliko, hata katika maendeleo ya kisiasa watu huitaji kuona utofauti

Mie mwenyewe hapa kanitia hasira sana,hafikirii ni nini kilitokea mpka Chadema kikawa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA? Waendelee kujipa moyo tu na jeshi lao,
 
Ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho
 
Back
Top Bottom