Ungependa nani awe Mwenyekiti wa PAC?

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,306
6,514
Kwa taratibu za bunge la JMT kamati nyingi za bunge huundwa na wabunge wa vyama vya ushindani.

Moja ya kamati hizo ni PAC ambayo husimamia hesabu za serikali katika mashirika ya umma. Katika bunge la 10 kamati hiyo iliongozwa na Zitto Kabwe kabla ya kujiuzulu ubunge. Zitto na wenzake walifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa na kupata imani kwa watanzania walio wengi.

Bunge lijalo ungependelea nani aongoze kamati hiyo ili gurudumu la maendeleo Tz lishike kasi?

Unazi pembeni.....jadili hoja bila kutoa matusi au kejeli kwa mtoa mada au yeyote yule.

Karibuni
 
Mtu anajifanya yeye ni Mzalendo sana kumbe anapiga deal zake humo humo ktk kamati, tunawajua na hata kiasi walichochukua. Nadhani ni wakati sasa wa kumweka mzalendo kama Mnyika tuachane na Zito.
 
Mtu anajifanya yeye ni Mzalendo sana kumbe anapiga deal zake humo humo ktk kamati, tunawajua na hata kiasi walichochukua. Nadhani ni wakati sasa wa kumweka mzalendo kama Mnyika tuachane na Zito.

Semeni mnaogopa atasema mkaguliwe RUZUKU teh teh
 
mwenye hicho cheo anajijua na anajulikana, hakuna haja ya kujadili.
 
Mtu anajifanya yeye ni Mzalendo sana kumbe anapiga deal zake humo humo ktk kamati, tunawajua na hata kiasi walichochukua. Nadhani ni wakati sasa wa kumweka mzalendo kama Mnyika tuachane na Zito.

Sentensi zako za mwisho zilijitosheleza kama majibu.....hayo ya kupiga ni nje ya mada
 
Back
Top Bottom