Ungelikua ni wewe ungelifanya nini?

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Habari za asubui wanajamvi wenzangu?natumaini mupo powaa! Ningependa kueleza tukio dogo ambalo limetukia ivi majuzi ili liweze kutufunza sisi na jamii inayotuzunguka. Rafiki wangu wa ukubwani ambaye utotoni sikucheza nae,juzi alikutana na mwanamke ambae alikua na mahusiano nae na aliwai mlala mara moja,walipokutana walisalimiana nae vizuri na kuzunguamza vizuri,basi mda kupita yule mwanamke akaomba simu ya rafiki,rafiki nae bila hiana akampa,mwanamke akachukua ile cm na kuanza ibonyeza,mara sura ikaanza badilika nakumrushia simu rafiki na kuondoka kwa hasira, rafiki hakujua tatizo nini kuja kugundua kumbe alisevu namba ya yule mwanamke MBWA. amejaribu wasiliana nae ili kulisuluhisha lakini wapi, mpaka sasa mahusiano yao co mazuri. Swali:je ungelikua wewe umekuta wewe umeseviwa ivyo ungelifanya nini?
 
Makubwa hayo Mbwa tena??? Lakini ndivyo yalivyo mambo ya simu kuna mdada alisevia KITIMOTO na yeye ni muislamu hapo imagine inakuwaje.
 
maswal mengne jaman...
et ungekuta wewe umeseviwa ivo ungejibu nin....tuanze na wewe mwandish he we ungefanyaje?

mi ningeanza kubweka km mbwa ili niwe km anavyonidhania...

MIMI NINGEEDIT JINA LAKE FRESH KWENYE CM YANGU NINGEANDIKA MY DEAREST BRAZA,FREND, au majina yote mazuri yenye adabu na utu then ningemwambia nimekusevu ivi kwenye cm.
nashukuru wewe kwakunisevu mbwa.
ningeaga fresh na kumwambia my dearest braza nakuheshimu na kukupenda sana isnt wealth kwako kukaa na mbwwa meza moja..let me quit..byeeeeeeeeee

KUSINGEKUWA NA BFU.
IO INGEKUWA ADHABU TOSHA KULIKO KUMTUPIA SIM USON
 
thenx,ni vizuri nimeweza pata upande wa pili wa shilingi. A gud say Rozi.
 
eh! haya yanatisha! kumbe hilo janaume huwa linalala na mbwa?? kazi ipo..............
mimi ningemshukuru tu na kumuacha
 
usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio,ustaarabu hauji kwa mavazi tuvaayo [ingawa umaridadi unaficha umaskin],hata kama mtu kakukosea vipi lkn ni vyema kutumia njia mbadala kutatua tatizo [Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi]
:Huyo dada alikuwa anatafuta nini kwenye m ya watu?[ukimchunguza bata hutomla]
si busara kuanza kutafuta tatizo alishalipata tatizo tena kwa kujitakia anakasirika nn?

:Huyo mkaka hana haja ya kuomba msamaha maana hana mapenzi na huyo dada unless kama na yeye ni mbwa,maana mtu unaempenda huwezi kumsev hivyo.
 
Ningekuwa mimi ningebweka WOW! WOW! WOW! halafu ningemng'ata.

Ndio kazi ya mbwa....ulinzi shirikishi.
 
usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio,ustaarabu hauji kwa mavazi tuvaayo [ingawa umaridadi unaficha umaskin],hata kama mtu kakukosea vipi lkn ni vyema kutumia njia mbadala kutatua tatizo [Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi]
:Huyo dada alikuwa anatafuta nini kwenye m ya watu?[ukimchunguza bata hutomla]
si busara kuanza kutafuta tatizo alishalipata tatizo tena kwa kujitakia anakasirika nn?

:Huyo mkaka hana haja ya kuomba msamaha maana hana mapenzi na huyo dada unless kama na yeye ni mbwa,maana mtu unaempenda huwezi kumsev hivyo.
unamshuri nini rafiki?
 
huyo kaka nae ni mshamba..kama ni kaona mdada ni mbwa alimsevu wa nini?angepoteza tu namba ya mdada
mdada nae akome na iwe fundisho kwake kuchunguza visivyomuhusu
 
huyo kaka nae ni mshamba..kama ni kaona mdada ni mbwa alimsevu wa nini?angepoteza tu namba ya mdada
mdada nae akome na iwe fundisho kwake kuchunguza visivyomuhusu
mmh! Nadhani co kupenda kwake na hakujua
 
Huyo kaka hana ustaarabu
Hata kama ndio kuficha jina lisitambuliwe na mwingine sio kihivyo
huyo dada hana haja ya kuumia ni kuachana nae
hakuna haja ya mawasiliano hafai kwenye nuru wala giza.
 
embu tujifunze kuheshimu yale tuliyopata kwa wenzetu wakati tupo nao,hata kama imekuaje huwezi msave mwenzio jina la mnyama anyway labda wengine tumebarikiwa roho za tofauti,siwezi kutembea na vinyongo kwenye moyo wangu zaidi ya wiki tujifunze kusamehe maana hamna aliye malaika.

ina maana wakati upo nae hakuona huo umbwa wake,inawezekana dada alikasirika kwa sababu alikutana nae akijua ni rafiki waliopotezana mda mrefu kumbe kwa mwenzake yeye ni mbwa so sad.:disapointed:USTAARABU NI KITU CHA BURE.

embu muulize rafiki yako angejisikiaje kukuta dada amesave jina lake ivo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom