Ungekuwa wewe ungefanyaje?

ATUTA

Member
Oct 31, 2011
29
5
Mambo vp wana Jf.
Fikiria We ni mwanaume una mkeo mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kidogo kama miaka kumi hivi na unaipenda sana ndoa yako na wife anakuamini kupita kiasi, harafu ww ni mtu wa maji(pombe) sana. Siku moja ktk pitapita hizo sehemu unazopatia maji mara ukapata kimada (nyumba ndogo), mara tabia zako zinabadilika siku nyingine unakuja ucku na wife anakulalamikia kuwa umepata bi'mdogo ndo maana unakuja ucku sana we unamwmbia anakusingizia tu ila ukuwa na marafiki zako unopiga nao urabu ndio wanokuchelesha
Cku moja umetoka out na kimada mmepata maji mengi kupita kiasi kimada kakubuluza mpaka nyumbani kwake na kabla hujalala kakuvua nguo zote halafu kakulaza kitandani kilichoendelea cjui......... na ww sio kawaida yako kulala nje ya ndoa yako, mara umeshituka ucku kuangalia saa kumbe ni saa nane ucku ukakurupuka nakuanza kuvaa nguo zako ili urudi home, umefika home unamgongea wife mlango, wife anakwambia umechelewa huko kwa vimada vyako unakuja kunisumbua mm ucku, unamwambia wife anakusingizia rafiki zako ndio wamekuchelewesha ndo maana umechelewa kurudi, wife anakufungulia mlango unaingia ndani, unaanza kuchojoa nguo moja baada ya nyingine umetoa zote imebaki hiyo ya ndani, wife anakuuliza mme wangu hiyo nguo ya ndani umeitoa wapi na mm cina nguo ya ndani kama hiyo na asubuhi mbona hukuvaa chupi ya aina hiyo? ww kuangalia umevaa chupi ya hawala .Ungekuwa wewe ungefanye na wife umemwabia ucku huo ulikuwa na rafiki zako?
 
Mimi siwezi kufanya ubwege kama huo.Lakini ushauri kwa ***** yeyote wa type hiyo:
1.Aombe msamaha.
2.Aachane na kimada.
3.Aachane na ulabu maana kichwa cha kuku huyo.
 
Upuuzi wa hivo siwezi. Ushauri: Nilikununulia hii jana kabla sijakupatia kumbe nilikurupuka nikaivaa asubuhi kabla ya kwenda kazini. Wanawake niwajuavyo ninyi ni rahisi kukubali...japo kwa maana ya KUBALI YAISHE.
 
Kama ukijua ukifanya kitu kitajulikana tu hata kichukue mda mrefu kwanini hufanye???kuna usalama kweli??kama unakunywa pombe na kuwa na nyumba ndogo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom