Ungekuwa wewe ungefanyaje?? Jamaa awavimbisha wawili kwa mpigo..

Yani hii mbona ilinipita, ndo naiona hii mada. Hakyanani tena mi ningondoka lakini kabla ya kuondoka ningehakikisha hiyo nanihino yake haisimami tena for the rest of his misarable life. we unadhani type hii ya mwanaume anashindwa kukukazia binti yenu?
yani hili wala si swala la kuomba ushauri, hata biblia imeandika ndoa haivunjiki ISIPOKUWA kwa uzinzi.
 
Hapa hakuna cha kujishauri,jamaa mwenyewe hana kazi kazi yake ndio kumimbalaize watu tuu,mama fungasha vilago uondoke,ukisubiri tuu utaletewa ngoma!!![/QUOTE

Yani jitu halina kazi linakungoja wewe uhangaike huko mchana wote working your ass off uje ulilishe, kumbe kazi yake kungonolize na kila kiumbe wa kike mtaani na ndani lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom