Unga wa Mh. Chenge umekwisha nguvu, wabunge wanatoka usingizini.

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Nimekaa nikatafakari na nikapata jibu kuwa ule unga alionyunyuzia mheshimiwa Andrew Chenge pale mjengoni usiku wa manane huenda umeisha nguvu maana kuna wabunge wa CCM wameshazinduka toka katika ile dozi aliyomwaga miaka michache iliyopita. Hii inamaanisha kuwa ule unga wa kuwafunga midomo wabunge a.k.a "limbwata" umeanza ku-expire.

Tena inaonekana unga huu unawakumba zaidi wabunge wa CCM maana kila kitu wanasema Ndiyooooo, au Chenge hakumwaga mwingi upande wanaokaa CHADEMA?

Ila habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa yule mganga aliyempa ule unga alishafariki ndio maana wabunge wengi wanatoka usingizini.
 
inawezekana ni kweki maana hawa jamaa hawani njia nyingine zaid ya kutumia mbadala!
 
siku zinakuj kila kitu kitaeleweja ila tatizo bado kuna wananch wana akil ya kubumbaza [hawaewe chochote]
 
Nimekaa nikatafakari na nikapata jibu kuwa ule unga alionyunyuzia mheshimiwa Andrew Chenge pale mjengoni usiku wa manane huenda umeisha nguvu maana kuna wabunge wa CCM wameshazinduka toka katika ile dozi aliyomwaga miaka michache iliyopita. Hii inamaanisha kuwa ule unga wa kuwafunga midomo wabunge a.k.a "limbwata" umeanza ku-expire.

Tena inaonekana unga huu unawakumba zaidi wabunge wa CCM maana kila kitu wanasema Ndiyooooo, au Chenge hakumwaga mwingi upande wanaokaa CHADEMA?

Ila habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa yule mganga aliyempa ule unga alishafariki ndio maana wabunge wengi wanatoka usingizini.

Waache wafu wazikane wenyewe. Rwakatare yupo akiwasha moto kuunguza shetani na vibaraka vyake ndo hivyo tena. Kilichobaki ni Chenge kuokoka mambo yaishe.
 
Wamefanya nn hawa wabunge wa CCM kuonyesha kuzinduka kwao? Wameigomea bajeti?
 
Bajeti itapita kama kawaida halafu ni MTEMI CHENGE sio mheshimiwa peke yake.mtemi wa NYANTUZULAND.
 
umeisha au ndo umekolezwa zaidi ndo maana wamemchagua kuwa mwenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom