Unga unamuharibu Albert Mangwea

Inawezekana kbs Ngwea ameona sio mby kubwia kw vl kutamuongoza kwny "Road map" ya kufika juu kimaendeleo kw fani yake km Banza stone alivyofika juu ktk gem! Kutoka Twanga pepeta then Tot hadi kuishia kwenye kundi la Taarabu.
 
kwani mkwajuni wote wanakula ngada?TID tu mwenyewe tu kajichanganya!mnyamwezi wangu anapotea kama masihara!inaniuma sana

Hapana muuza sura sio wote wa mkwajuni wanakula podaa ila akiama hapo atajiepusha na kampani yake na yule kaka yake si ndo muuza unga mkubwa(kama amumjui angalieni video ya TID na JayDee Understanding yule msela aliact kama mme wa lady jd)
 
Inawezekana kbs Ngwea ameona sio mby kubwia kw vl kutamuongoza kwny "Road map" ya kufika juu kimaendeleo kw fani yake km Banza stone alivyofika juu ktk gem! Kutoka Twanga pepeta then Tot hadi kuishia kwenye kundi la Taarabu.

Judgment lol du kama ndo hvyo kwa ngwea basi hataree

Banza nyunga zimemlostisha
 
Hii ni hatari na inatokana na uwezo mdogo wa kufikiri kwani kila kukicha wanajitangaza kwenye vyombo vya habari wanataka miziki yao iwe ina hadhi na kusikika kimataifa, akimaliza kipindi anaenda kula hayo makitu. Sijui tuwaeleweje hawa wasanii wetu. Inasikitisha sana.
 
Banza tatizo nyunga Ngwea + Tid unga asilimia 20 bangi kitakacho wasaidia ni kumwamini KRISTO kama Remmy na Cosmas.
 
Haya mauza unga si yanajulikana ??????
Kuyafumbia macho ni kuiteketeza
nji yetu kamata mateja yote
yaelekeze yanapata wapi mapouder
then peleka kwa MTHIBITI WA MAPOUDER

Tatizo flora wauza unga wengi ni watu wakubwa au ni watu wenye ushirikiano na watu wakubwa so inakua ngumu kuwadhibiti coz hao wenye dhamana ya udhibiti ndo hao wauza unga
 
Mia sikuwezi hawajakulambisha kweli manake wewe!!!!!!!!!!!!!
shuga rei wewe

guest zenye vitanda mikweche wewe
wapiga chabo weye kwa macheni wewe
ASEEEEEEE


ngwea hajaanza leo. Tangu akiwa anaishi kinyama pale mtaa wa niger wenyewe wanapaita chemba squad ndo ilikua kazi yao asubuhi mpaka jioni.kipindi hicho nakumbuka alikuwa ngwea,nurah,dark master,wakina mez b walikua nao wanatia timu na vijana wa pale mtaani ambao bado wanaendeleza hadi leo.walivutaga unga saa mbili hadi saa tano asubuhi wakakimbia kwa miguu hadi kwa p.funk kurekodi wimbo wa "getto langu" eti mzuka ulipanda, nlikuwa napenda story zao za kwenda mamtoni.ndoto yake ilikuwa kuishi ulaya. Mia
 
Tumwombe mungu tu inasikitisha
ngwea alikuwa vizuri sasa kapotea
mungu amnusuru tu
kweli unga ni mbaya sanaaaaa




tatizo flora wauza unga wengi ni watu wakubwa au ni watu wenye ushirikiano na watu wakubwa so inakua ngumu kuwadhibiti coz hao wenye dhamana ya udhibiti ndo hao wauza unga
 
kuna kale kasaloon kakiume jirani na Kinondoni Hosp sijui kanamilikiwa na nani jamani.....maana hao wasanii wala unga karibia wote utawakuta wanastua pale mchana wa jua kali

hivi 120 imeishia wapi!
Dah pesa hizi yaani kutoka jangwani hadi baharini na kuoga kwa kufungua "ZIPU" kama yule mchaga.nukta
 
Kufuatilia ishu za unga, jiulizeni Amina Chifupa na mumewe wako wapi. Mtoto wa 1981 kawahi kuzimu mapema sana! Kwa upande mwingine ishu hizo muulizeni Langa. Alipata kazi nzuri lakini anakwambia, unga unakufanya uuwaze huohuo ukiwa kokote, na mahali kokote,muda wote,wakati wote! Hukumbuki lingine lolote!
 
Back
Top Bottom