FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
hawa watu sijui hata kama wanafanya mazoezi kidogo zaidi ya kula na kulala!
naona mheshimiwa anakaribia kupasuka lol hii si sawa kabisa
hawa watu sijui hata kama wanafanya mazoezi kidogo zaidi ya kula na kulala!
Yanakula kama nyoka, kuku anamezwa mzima mzima baadae yanatema mifupa tu..
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?
Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.
Hivi yale mambo yetu wanamudu kweli ama ndo kusaidiwa?
...I doubt it! :suspicious:
main reason nadhani ni kuwa hawana kazi yoyote ya kufanya apart from kwenda bungeni kusinzia huku mamilioni ya ufisadi yaingie kwenye offshore accounts zao. then kwenda nyama choma kwa vibia kadhaa mara kadhaa kwa wiki. hivi hawa watu wanapewa kazi kweli?
Wanachama wa chama cha mafisadi wamewapumzisha wote wawili, Mwichumu na Mwenegoha; kwani wote wawili waliangukia pua kwenye kura za maoni!!
Yanakula kama nyoka, kuku anamezwa mzima mzima baadae yanatema mifupa tu..
Mambo gani kaka tena?kuimba makanisani au unaamaanisha nini baba Rev?nawasilisha tuHivi yale mambo yetu wanamudu kweli ama ndo kusaidiwa?
Huyu Gama alikuwa mwalimu wangu pale Mfaranyaki Primary School Songea ,alikuwa mwalimu wa UPE na alikuwa ni kijana mwembamba maridadi sana ,alikuwa pia mwalimu wa ngonjera (za kusifia CCM),baada ya kumaliza hapo sikumuona tena hadi alipoukwaa ukuu wa wilaya ya Kyela kwa kweli sikuamini macho yangu nilipoona kanenepeana kupita kipimo ,nikajiuliza au ndio raha ya uheshimiwa,Gama alikuwa ni mwembamba sana na huo unene nafikiri ni wa kula hovyoJamani hawa watu wanakulaga nini? Huyu Leonidas Gama anaweza fanya hata push ups mbili kweli