Unene huu wa waheshimiwa wetu unasababishwa na nini?

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
jamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?

nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'

wabunge wanene.jpg

Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)
 
posho zilizoshiba,Nyama choma pale sabasaba,Raha mstarehe hawawazi kesho itapitaje wana uhakika wa maisha hadi ya vitukuu wao kutokana na ufisadi walioufanya.Haiwasumbui wananchi wanaowawakilisha kuishi chini ya dola moja!with all these kwa nini wasiwe na mafuta na minyama uzembe?
 
Yeah..inawezekana wote wawili wana ugonjwa wataalam wa utabibu wanatuambia unaitwa "metabolic syndrome"
 
main reason nadhani ni kuwa hawana kazi yoyote ya kufanya apart from kwenda bungeni kusinzia huku mamilioni ya ufisadi yaingie kwenye offshore accounts zao. then kwenda nyama choma kwa vibia kadhaa mara kadhaa kwa wiki. hivi hawa watu wanapewa kazi kweli?
 
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?

Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.
 
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?

Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.

yani sielewi nianzie wapi mtu unaetumia akili na busara huwezi kua natumbo kubwa vile, kama huna pesa kidogo inaweza kueleweka pesa unayo kwann usifanye mazoezi jamani, tukubali kwamba wabunge wetu ni walafi na wapo pale kwaajili ya kujaza hayo matumbo yao na si kwamanufaa ya wananchi wao wanaowawakilisha
 
Hao rushwa tu zimewanenepesha hivyo hakuna kingine.Na wananenepa kwa pesa za walalahoi.
 
Hivi lile jengo lote, na ukubwa wake, na ujenzi wa kiasia hawakufikiria hata kuweka dojo (gym)?

Spika itabidi awafokee wabunge wake waondoe hayo matumbo, kwani ni mfano mbaya kwa wananchi.

Inabidi kuwepo na paradigm shift... WatZ wengi huona unene wa kupindukia na vitambi kama sign of affluence and success!
 
watakushitaki, kuwekapicha zao hapa, we shauri yako, mimi simo.......

hawa watu wanajionyesha namna walivyo negligent, kuanzia na miili yao.
ina maana kama hawajijali nafsi zao watajali vipi dhamana waliopewa na watu wengine?
hawa ni kama watoto wadogo lete, lete......
hawajui responsibility.
lakini wakifa wasijesema ni unga wa chenge,
mtu mzima huwezi kula asubuhi then unalala, unakula tena lunch, then unalala, unakula na kunya tena jioni uanalala kwa kipindi chote cha bunge Lazima uugue
 
wakuu nnasikia siku hizi kuna maradhi ambayo mtu huvimba tumbo, kama vile gesi na mfano wake hata ufanye mazoezi lkn hawa sijui tatizo ni lipi?

hivi wabunge hawaendi medical check na jee hawana washauri wa mambo ya afya?
 
Hii hali husababishwa zaidi na kula hovyo na kutokuuweka mwili active - Mtu anayeenda baa umbali wa mita 200 kutoka nyumbani kwake kwa gari, akili haishughulishi optimum-ly, msosi kila akijisikia hamu, kuridhika to some extent ni sababu haswaa za unene huo....... Ni vichekesho hawa jamaa sijui hata kama wanaperform
 
Hawa jamaa ni wa kuonewa huruma, kila hatari ipo pale na baya zaidi ni wanandani wao kutaabika pia
 
jamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?

nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'

View attachment 1717

Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)

Suala la unene si la wabunge pekee, mie ninamfahamu Mh. Msomi. Nilifanya naye kazi nilipokuwa serikalini. Alikuwa hivyo hivyo kabla hajawa mbunge. Watu wanene wako wengi tu lakini si wabunge. Kama ambavyo wengine wamechangia ni kwamba hawapati balanced diet. Suala la mazoezi wengine wanaona kama ni kupoteza muda, vilevile hata muda wa chakula haupewi kipa umbele. Unakuta wengine wanapata manjee hata saa saba usiku kisha anakwenda kulala. Kwa utaratibu huo unafikiri nini kitatokea?!!
 
Hawa wanahitaji msaada tuu,sijui hata kama wanaweza focus chochote maana ni kama wamebeba mzigo mzito sana kwenye miili yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom