Unazo zaidi ya kilo kumi? Kuna dili hapa

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
NIKO bandarini hapa Malindi, nimemkamata Mchina mmoja akiwa na mkoba mmoja mkubwa sana, nimemsachi nimemkuta na mavuzi kama kilo 7 hivi. Nimemuhoji amesema kuwa anayatumia kama mboga, kasema ananunua kilo kwa shilingi za Kibongo 30,000. Nimempa namba yako atakupigia najua unazo zaidi ya kilo kumi. Usiyanyoe ndugu yangu kuna dili hapa atakutafuta muda si mrefu, mwambie na mkeo.
 
Bila shaka mkuu hapo unakipala sehemu zako za siri baada ya kupata hilo dili, sipati picha kipala cha mkeo, teh teh teh teh teh teh teh teeeeh
 
Dah miye na mke wangu tumekosa fedha kwa kuwa tulishanyoa wiki moja iliyopita.
 
sijakuelewa bro, mavz yote niliyonyoa hata kwa miaka 5 iliyopita hayafiki kg 10, ni kweli ya kwako uliyapima yakatoa kg 10? kuwa serious kwa sababu nimesharipoti kwa wana uamsho.
 
Umefanya jambo la busara sana kuwaambia wana wa uamsho, hao si wanafuga sana ndevu? basi wao yao na ukichanganya na yako na ya mkeo, yatafika kilo 10, usiwe na shaka.
 
mkuu ulivompa akuchukua na vingine vcvyomhusu
Sijampa chochote mkuu soma thread vzr ila nilimkuta nayo katika mfuko wake mkubwa, sasa ametangaza dili anataka mavuzi yako maana miye na mke wangu tumeshanyoa siku zilizopita, hatuna.
 
Back
Top Bottom