Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

Kwa hiyo mlimpiga na kutaka kumuua ili aone ubora wa hospitali? Sala zake zimejibiwa. Alisema anapanda mlimani ili mtesaji mkuu alipwe na Mungu

Na Mungu kamlipia....
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Hospital za magufuli?
Wewe kweli dish limeyumba
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
mkuu nikufahamishe tu kua, MAGUFULI hakuwai kua mmiliki wa hospitali Tanzania. hospitali ni za watanzania wote kwa sababu kodi zao ndio zilizojenga hospitali hizo. mwananchi anaposema huduma katika hospitali fulani imekua mbovu haimaanishi yeye akiugua hatatibiwa katika hospitali aliosema inatoa huduma mbovu isipokua anataka huduma ziboreshwe.
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Magufuli hana hospitali
 
kuna watu hawajui kushukuru hata uwape nini cha kushangaza akipona hapo ataanza kusema nilisubiri masaa matatu kwa matibabu ....... 😑😳😐
 
Sio zake we zezeta, ni za serikali zilijengwa kwa hela ya serikali amboyo inatokana na kodi za wananchi hakuna hata senti ya huyo dikteta uchwara wenu iliyotumika. Kupenda kusifia sifia ujinga kamlambe matako huyo Mungu mtu wako huko aliko fala wewe.
Lakini hospitali zake hazijafa na utazitumia sana
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Hawataki "wapinzani 'Bungeni" lakini covid-19 wanawalinda!
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Hiyo sio mali ya mtu wala kikundi cha watu, ni mali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Jitahid uwe unatumia akil angalau mara moja kwa week
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Mwendazake hivi alikuwa na hospitali? Alizitoa wapi?
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Magufuli hana hospital, kodi zetu zimejenga
 
Hakuna hospitali ya magufuli kuha hospitali za walipakodi wa Tanzania..siku watanzania wakielewa kuwa wao ndio maboss wangeacha kushabikia wapumbafu wachache kama mtoa uzi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Alitoa hela yake chato kuzijenga?
 
Magufuli alirithi hela kwa baba yake yupi mpaka akajenga hospital?
 
Back
Top Bottom