Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

Lakini hospitali zake hazijafa na utazitumia sana
Zile siyo hospital zake kama unavyoghani hapa kuhani wewe. Ni hospital za watanzania kwakuwa hakujenga kupitia zile 10% zake za manunuzi haramu ya ndege huku Akikalia sheria ya manunuzi ya umma MAKALIONI MWAKE.
 
mkuu nikufahamishe tu kua, MAGUFULI hakuwai kua mmiliki wa hospitali Tanzania. hospitali ni za watanzania wote kwa sababu kodi zao ndio zilizojenga hospitali hizo. mwananchi anaposema huduma katika hospitali fulani imekua mbovu haimaanishi yeye akiugua hatatibiwa katika hospitali aliosema inatoa huduma mbovu isipokua anataka huduma ziboreshwe.
Mwambie kwa sauti kwamba kambarage angekuwa mbinafsi kama magufuli madaraja yot yore na kila kitu alichorith toka kwa mkoloni kuanzia mitaa kungekuwa cha kwake pasingekuwa na makona.
Leo watu wanavaa barakoa ikulu na mambo yanakwenda.
Hata yule Dalali wa cases leo hayupo ofisini tena. Yapo mengi yanakuja!
Mwambie asikie kuwa hana LEGACY yoyote zaidi ya kupandikiza Vidudu mtu/chawa kama hili kinachoamini kwamba huyu anayeamini hospitality ni mali yake.
Corona imemfyeeeeeka. Shetani yule
 
51lNYJ9hVPL._SY445_SX342_QL70_ML2_.jpg

Ingekuwa poa kama kingeandikwa Kitabu kipya chenye Title ya "MZOGA WA CORONA" kinachomhusu huyo Bwana
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Mods hii Takataka kwanini mnaitunza bado? Magufuli alitoa wapi hosp?
 
Imekuwa ni desturi kwa chadema kujiona wana haki ya kukosoa tu!
Kwa muda mrefu uhuru wa habari kichwani mwa Chadema unamanisha ni kutukana na kukosoa wengine ila wao kukosolewa hapana.

Ukiwakosoa chadema watakuita ni dikteta ila wao wakikukosoa wanaita ni uhuru wa habari!!!

Kitendo cha Chadema kuanzisha kampeni ya kuunfollow Clouds kisa tu wamehoji watu wanaowakosoa siyo haki kabisa na ni unyumbu na uzwazwa wa hali juu kwenye chama hicho.

Jiulize kama Lema ambaye hana cheo chochote anaishi kwa kulelewa na wanaume wenzake huko Ulaya anaweza kuanzisha kampeni ya kipuuzi namna hiyo kisa tu dikteta Mbowe amekosolewa, vipi Lema angekuwa rais wa nchi angechukua hatua gani kwa clouds na wakosoaji wa mienendo ya Chadema?

Bila shaka chadema wanaohubiri demokrasia na uhuru wa kutoa maoni hawana chembe hata tone la uvumilivu pindi wanapokosolewa.
Were mbwa sio kila anayewakosoa nyinyi ni mpinzani au chadema
 
..mnawatukana Wakenya halafu mkikaribia kukata roho mnakimbilia Nairobi kujiokoa.

..Waswahili husema, " usitukane mamba kabla hujavuka mto. "

Cc MK254
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451kodi za
Magufuli hana hospitali ni mali za watanzania wote zimejengwa kwa kodi zetu wote hakutoa fedha zake mfukoni
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Mdude amekuwa bingwa wa kutoona juhudi za rais Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania ikiwemo kuwajengea hospitali na zahanati kila mahali. Mdude amekuwa akisema hizi hospital hazina madawa na hazifai kutibu hata mende!

Niwape ushauri tu vijana wa chadema, siasa zisiwafanye mshindwe kuona juhudi kubwa zinazofanywa na rais wetu.View attachment 1092451
Kuna hospital za JPM au serikali?
 
Back
Top Bottom