Unaweza kurudisha videos zilizo-corrupt?

Aug 28, 2017
69
88
Salama wadau,

Kama kichwa kinavyo eleza. Nina footages nili shoot sasa baada ya kuzihamishia kwenye pc kuna baadh yakawa corrupted.

Video hazi play lakini ukicheck properties zinasoma nyingine 1.9gb nyingine 600mb

Kama unaweza kurevive hizo footages tuwasiliane 0742 037 876
 
Salama wadau..

Jaribu kutumia video converter ujifanye kama unazibadilisha kwenda kwenye format nyingine ambayo ni video pia tuseme kama vile mp4. Kama file itakubali kuwa converted kutoka mwanzo hadi mwisho, the new converted file will definetely play

Recommended software for conversion, tumia youtubedownloader
 
Unaweza kuonyesha picha jinsi video zinavyoonekanaa
 
Jaribu kutumia video converter ujifanye kama unazibadilisha kwenda kwenye format nyingine ambayo ni video pia tuseme kama vile mp4. Kama file itakubali kuwa converted kutoka mwanzo hadi mwisho, the new converted file will definetely play

Recommended software for conversion, tumia youtubedownloader
Nimeshajaribu hizo njia mkuu. 0-0
 
Nimeshajaribu hizo njia mkuu. 0-0
Jaribu tena na njia nyingine hii hapa kwa kutumia VLC media player

Method 4: Replicate Video File with VLC
  1. Make a copy of the corrupted video file and change its extension from . ...
  2. Now bring up the VLC player and go to 'Tools' and select 'Preferences'.
  3. In preferences go to the 'Image/Codecs' tab and select 'Always fix' for the 'Damaged or incomplete AVI file' option
 
Hio video iliwahi kuwa nzima kwenye hicho kifaa ndio ika corrupt ama imekua Corrupted wakati wa kuhamisha?

Kama toka inawekwa tayari ilicorupt ni ngumu kusolve sababu haijakuja kamili kwenye machine yako

Ila kama ilikuja kamili then imecorupt kwenye machine yako inamaana virus ama tatizo jengine linaweza sababisha, nafkiri software za recovery zinaweza saidia kwa situation kama hii una recover file toka state ya zamani
 
Back
Top Bottom