Unaweza kuomba dunia ipasuke..

Aahahahahahahha hahahahaa eehehehehehehehehehehhehehee iiihihihhihihihhh
Ooohohohohohohohohohohohohohooooh
Uuhuhuhuuhuhuhuhhuhuuhhuhhh

Uuwiiih mbavuu zangu mie looh.

Kuna siku nilikuwa naongea na mtu akawa ananiambia ukitaka kumdhoofisha mwanaume hasa mkiwa mmekosana lenga hapo kwenye kendez piga ngumi au teke au Piga na kitu /silaha ila isiwe ya kujeruhi kutoa damu iache maumivu tuu......

Utashangaa hata kama ni janaume kama linyamwezi linakaa chini na kugumia maumivu. Hapo waweza kimbia kutafuta msaada au kujiokoa.

Sasa kwa huu uzi, point taken as my self defence. No wonder kwenye penalty uwanjani waking mpira mikono yao wanaiweka hapo mbele kuziba ikitokea mpira umetua hapo usimfanye akalala chini kwa maumivu aahahahahaa.

Poleni sana akina Baba kwa maumivu mnayopitia.

K' Matata.
 
Back
Top Bottom