S SI unit JF-Expert Member Feb 24, 2012 1,953 766 Sep 3, 2012 #1 Wakati unafungua hii thread ulikua unawaza nini?:A S 465:
mtotowamjini JF-Expert Member Apr 23, 2012 4,526 1,169 Sep 3, 2012 #2 Nilifikiria kuna dili ya hela wengine akili zetu ni kihela hela :happy:
S SI unit JF-Expert Member Feb 24, 2012 1,953 766 Sep 3, 2012 Thread starter #3 Mtoto wa mjini lazima uwaze shilingi:msela:
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Sep 3, 2012 #5 namuwaza mke wa Nyani Ngabu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
S SI unit JF-Expert Member Feb 24, 2012 1,953 766 Sep 3, 2012 Thread starter #6 unawaza mbege eeeh,,,:third:
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,232 113,610 Sep 3, 2012 #7 Bishanga said: namuwaza mke wa Nyani Ngabu. Click to expand... Sina mke mie... Au ulimaanisha gelfrendi wangu ambae ndo mkeo?
Bishanga said: namuwaza mke wa Nyani Ngabu. Click to expand... Sina mke mie... Au ulimaanisha gelfrendi wangu ambae ndo mkeo?
majuto mperungu01 Senior Member Aug 29, 2012 115 21 Sep 3, 2012 #8 nisipowaza mbege nitawaza nini! Mapenz ahhhh sina hela ya kuhonga siasa ahhhh polisi walee na mabomu
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,254 12,872 Sep 3, 2012 #9 nawaza kuna bonge la kituko, make nina hamu ya kuchekeshwa mbaya!
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Sep 3, 2012 #10 Nyani Ngabu said: Sina mke mie... Au ulimaanisha gelfrendi wangu ambae ndo mke? Click to expand... kwi kwi kwi kwi ngoja nikusemee kwa matron wenu phina. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyani Ngabu said: Sina mke mie... Au ulimaanisha gelfrendi wangu ambae ndo mke? Click to expand... kwi kwi kwi kwi ngoja nikusemee kwa matron wenu phina.
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Sep 3, 2012 #11 charminglady said: nawaza kuna bonge la kituko, make nina hamu ya kuchekeshwa mbaya! Click to expand... mzee hajambo?
charminglady said: nawaza kuna bonge la kituko, make nina hamu ya kuchekeshwa mbaya! Click to expand... mzee hajambo?
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Sep 3, 2012 #12 majuto mperungu01 said: nisipowaza mbege nitawaza nini! Mapenz ahhhh sina hela ya kuhonga siasa ahhhh polisi walee na mabomu Click to expand... wala usikonde,siku hizi wanahonga ni wanawake.
majuto mperungu01 said: nisipowaza mbege nitawaza nini! Mapenz ahhhh sina hela ya kuhonga siasa ahhhh polisi walee na mabomu Click to expand... wala usikonde,siku hizi wanahonga ni wanawake.
Junior. Cux JF-Expert Member Feb 3, 2011 5,319 3,767 Sep 3, 2012 #13 Nawaza ntakaa wapi nkirudi chuo maana naona wameongeza kodi
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,254 12,872 Sep 3, 2012 #14 Bishanga said: mzee hajambo? Click to expand... nahisi macho yako yanaona up side down!