Kulia kwa mwanaume ndo show offNilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa.
Mimi huwa huwa navaa mkono wa kulia,maana mkono wa kushotovndio huwa nautumia kuandikia na kazi za mikono pia.Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa.
Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu pia anavaa mkono wa kushoto na anaigeuza sehemu ya kuangalia mda inakuwa kiganjani, huangalia muda kila baada ya masaa kadhaa ya kazi kupita sasa jinsi anavyoangalia anavutia sana, niliona huu kumbe ni mkono wa kike nilivua saa yangu na kuivaa mkono wa kulia.
Ni mtazamo wangu tu, wenzangu sijui kwanini wanavaa mkono wa kulia au kushoto!
Japo umeweka angalizo kuwa sio lazima, lakini huu ndio ukweli wenyeweSaa inavaliwa kutokana na mkono mtu anaotumia sana. Kama mtu anatumia mkono wa kulia (Right Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kushoto. Na kama mtu anatumia mkono wa kushoto (Left Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kulia.
Hii inatokana na hatari ya kuivunja, kuiharibu au kuichakaza saa yake.
#Sio Lazima Kufuata Principle Hii.
Nimependa huu ifafanuzi,lakini ngoja nichangie.Saa inavaliwa kutokana na mkono mtu anaotumia sana. Kama mtu anatumia mkono wa kulia (Right Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kushoto. Na kama mtu anatumia mkono wa kushoto (Left Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kulia.
Hii inatokana na hatari ya kuivunja, kuiharibu au kuichakaza saa yake.
#Sio Lazima Kufuata Principle Hii.
Saa inavaliwa kutokana na mkono mtu anaotumia sana. Kama mtu anatumia mkono wa kulia (Right Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kushoto. Na kama mtu anatumia mkono wa kushoto (Left Handed) sana basi saa anavaa mkono wa kulia.
Hii inatokana na hatari ya kuivunja, kuiharibu au kuichakaza saa yake.
#Sio Lazima Kufuata Principle Hii.
Ila Sasa kuzipata hizi za sisi mashoto ndo ubahatishehii ndio kanuni sahihi ya uvaaji saa na kwa kuongozea tu,saa zinatengenezwa kutokana na mkono unaoivaa.saa ya kuvaliwa na mtu wa mashoto(lefty) ambae ataivaa mkono wa kulia,ile knob yake ya kubadili majira huwa inawekwa tofauti na saa ya kuvaa mtu wa right.
Umejibu kitaaluma kabsa. Asante.Navaa kushoto
Biologically, mkono wa kulia una activities nyingi hautaki uzito kitu kinachomzongazonga...pia kuna ukushoto fulani hivi kuvaa kulia.
Fashionable, mkono wa kushoto hana shunguli nyingi basi abaki na urembe wa saa na brasalet...hata movement yake si strong.
Safety, saa ikikaa mkono wa kulia una % kubwa ya kuharibika haraka activities za mkono na quickly movement.
Ila Sasa kuzipata hizi za sisi mashoto ndo ubahatishe
Saa ya nini wakati kwenye simu iko juu kabosa ya kwanza kuiona