Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Kama mtanzania mwenye mapenzi nini mtazamo wako kuhusu Dr Ulimboka na kurudi kwake Tz baada ya matibabu kukamilika na hatma ya maisha yake?

Kitendo cha kutaka kumtowa roho Dr Ulimboka kimewapelekea wafanyakazi kuondokana na mawazo ya kufanya migomo kwa kuhofia maisha yao.

Kuna baadhi yetu wanasema ametia Dowa Tanzania na kuna baadhi yetu wanasema ametia dowa ikulu na kumkashifisha Rais wa nchi katika Ulimwengu .
 
Kama mtanzania mwenye mapenzi nini mtazamo wako kuhusu Dr Ulimboka na kurudi kwake Tz baada ya matibabu kukamilika niwaa hatma ya maisha yake ? kitendo cha kutaka kumtowa roho Dr Ulimboka kimewapelekea wafanyakazi kuondokana na mawazo ya kufanya migomo kwa kuhofia maisha yao.kuna baadhi yetu wanasema ametia Dowa Tanzania na kuna baadhi yetu wanasema ametia dowa ikulu na kumkashifisha Rais wa nchi katika Ulimwengu .

Kwanza tunamwombea apone haraka then mambo ya kurudi angeshauriwa akafanye kazi katika nchi zingine hata kwa miaka mitatu hivi chini ya ulinzi wa UN, after 2015 ndo aje home
 
Ngoja nimpigie drector wa muvi afande kova atupe maelekezo nini cha kufanya
 
Kwanza tunamwombea apone haraka then mambo ya kurudi angeshauriwa akafanye kazi katika nchi zingine hata kwa miaka mitatu hivi chini ya ulinzi wa UN, after 2015 ndo aje home

walomdhuru watakua wamekufa by 2015 au????
 
Sijaona cha kujadiili katika hilo. Ni wajibu wa kila mmoja kupinga na kukemea udhalimu. hili halijafanyika kwa kiwango cha kuridhisha, hao waliofanya unyama huo, leo wamefanya kwa ulimboka ,kesho kwako n.k.

Hawa wauaji hawajapata meseji ya uhakika kwamba walichokifanya ni kinyume kabisa na demokrasia yetu na utu wa binadamu. kwahiyo Dr. Ulimboka arudi asirudi sio issue, issue ni hao waliofanya ukatili huo wameshughulikiwaje ili iwe fundisho kwa siku zijazo?
 
Kama mtanzania mwenye mapenzi nini mtazamo wako kuhusu Dr Ulimboka na kurudi kwake Tz baada ya matibabu kukamilika na hatma ya maisha yake ? kitendo cha kutaka kumtowa roho Dr Ulimboka kimewapelekea wafanyakazi kuondokana na mawazo ya kufanya migomo kwa kuhofia maisha yao.kuna baadhi yetu wanasema ametia Dowa Tanzania na kuna baadhi yetu wanasema ametia dowa ikulu na kumkashifisha Rais wa nchi katika Ulimwengu .
Namshauri DrUli arudi kwanza kijijini kwake akaonane na Banyafyale na Mafumu wampe baraka zote.Baada ya hapo kisyesye ns kimpumu kitembee kijijini hapa atarudi na nguvu mpya!
 
asiongoze na mwanasiasa yeyote katika kueleza ukweli watanzania tena atunze heshima yake kwa kusema ukweli na kupambana katika fani yake na kamwe asijiingize kugombe nyazifa za kisiasa
 
Jumuia ya kimataifa imhoji na kurekodi maelezo yake kabla hajaingia nchini na walete ushahidi wake kwa watz ili tuwahukumu wahusika na kushughulikia shauri lake mpaka litakapoisha au wahusika wote kuanzia yule wa ikuku wanyongwe ndipo arejee nchini
 
Kwanza aombe radhi watanzania wote kwa vifo vilivyotokea wakati akihamasiha mgomo wa madaktari ,kisha aache kudharau mahakama , serikali na watu wake mwisho ajitayarishe akirudi lazima ajibu kesi yake ya kuvunja sheria kwa kuongoza mgomo batili na kusababisha mauaji ya halaiki ya wagonjwa tena watanzania wenzake.
 
Aende akazungumze na waandishi Uhamishoni London atoboe kila kitu ama huko huko BLUEFONTAIN SOUTH AFRIKA.
 
Kwanza aombe radhi watanzania wote kwa vifo vilivyotokea wakati akihamasiha mgomo wa madaktari ,kisha aache kudharau mahakama , serikali na watu wake mwisho ajitayarishe akirudi lazima ajibu kesi yake ya kuvunja sheria kwa kuongoza mgomo batili na kusababisha mauaji ya halaiki ya wagonjwa tena watanzania wenzake.
Nakusikitikia sana kwa kuwa hujui unenalo, uhai wa mtu uko mikononi mwa Bwana na si binadamu
 
Homosapien, nadhani bado upo kwenye evolution hujafikia kiwango cha kuwa homosapien sapien. Kwa hiyo sishangai unachokoment, shame!
 
walomdhuru watakua wamekufa by 2015 au????

Akirudi muda huu watamuua, bora akae mpaka baada ya 2015 atakuta utawala umebadilika na kua wa amani,

Atakuta pia kuna kesi zinaendeshwa dhidi ya waliokua watawala kabla ya 2015 ambapo by then watakua rumande.

Pia akija baada ya 2015 hata wale waliotaka kumuua watakua washakamatwa, so atakuja kuja kua shahidi muhimu.

After 2015 Msitu wa Pande utakua ushagawanywa viwanja, na cement inaoatikana bei chee tu so kumejengeka vizuri tu, so hatakua na cha kuhofia.

After 2015 hata madaktari watakua wanalipwa vizuri tu, so atakuja nae kufanya kazi yake hapahapa Tanzania.

By the way, nchi itakua inajengwa upya baada ya kuharibiwa kwa miaka takriban 54 after independent, so mchango wake utakua unahitajika sana katika Tanzania Huru ya wakati huo.
 
akirudi muda huu watamuua, bora akae mpaka baada ya 2015 atakuta utawala umebadilika na kua wa amani,

atakuta pia kuna kesi zinaendeshwa dhidi ya waliokua watawala kabla ya 2015 ambapo by then watakua rumande.

Pia akija baada ya 2015 hata wale waliotaka kumuua watakua washakamatwa, so atakuja kuja kua shahidi muhimu.

After 2015 msitu wa pande utakua ushagawanywa viwanja, na cement inaoatikana bei chee tu so kumejengeka vizuri tu, so hatakua na cha kuhofia.

After 2015 hata madaktari watakua wanalipwa vizuri tu, so atakuja nae kufanya kazi yake hapahapa tanzania.

By the way, nchi itakua inajengwa upya baada ya kuharibiwa kwa miaka takriban 54 after independent, so mchango wake utakua unahitajika sana katika tanzania huru ya wakati huo.

sidhani kama kungeweza kuwa na jibu sahihi zaidi hili!
 
Akirudi muda huu watamuua, bora akae mpaka baada ya 2015 atakuta utawala umebadilika na kua wa amani,

Atakuta pia kuna kesi zinaendeshwa dhidi ya waliokua watawala kabla ya 2015 ambapo by then watakua rumande.

Pia akija baada ya 2015 hata wale waliotaka kumuua watakua washakamatwa, so atakuja kuja kua shahidi muhimu.

After 2015 Msitu wa Pande utakua ushagawanywa viwanja, na cement inaoatikana bei chee tu so kumejengeka vizuri tu, so hatakua na cha kuhofia.

After 2015 hata madaktari watakua wanalipwa vizuri tu, so atakuja nae kufanya kazi yake hapahapa Tanzania.

By the way, nchi itakua inajengwa upya baada ya kuharibiwa kwa miaka takriban 54 after independent, so mchango wake utakua unahitajika sana katika Tanzania Huru ya wakati huo.
nimeipenda hii,ugua pole kamanda
 
Back
Top Bottom