Hivi si lowasa huyuhuyu juzi kwenye safari yake ya matumaini alikuwa anawaambia watu kwamba wasikubali nchi kuongozwa na chama pinzani??? Sasa huku pinzani alikoenda atawaambiaje wananchi?? Serious Lowasa anaboa,na sijui kwanini anatafuta urais kwa nguvu hivyo,na upinzani napo wakimpa kugombea urais hakika CCM watashinda uchaguzi wa October kwa kishindo
Jibu Ndio au Hapana..
Hizii ngonjera hazina mantiki kwenye hii post..
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Naona huo sasa ndio muelekeo wa hii kura na gap linazidi kuongezeka tofauti na pale mwanzoni.waliosema ndio wameshinda.lowasa ndiye mgombea uraisi ukawa