Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Hata akienda hana msaada wowote,huyo ni mwizi hata watoto wadogo wanajua leo ukampe ikulu c atauza mpaka tausiwaliopo hapo
 
Ikiwa Chadema tutamkaribisha Lowasa kuwa mgombea tutapoteza kura nyingi sana za watu wetu walio katika uwanja wa mapambano kwa miaka mingi. Lowasa hatashinda urais na tutakuwa tumerudi nyuma miaka 10. Kama amechukia sana vitendo alivyofanyiwa na CCM basi amsaidie mgombea wa Ukawa na si yeye kugombea.
 
Ndio kuhama, hapana kugombea (anaweza support tu upinzani dhidi ya CCM)
 
Ndiyo . Menye ushahidi wa ufisadi wake atusaidie ndugu zangu, kwani Kuna utata, pia najiuliza wezi wanashktakiwa kwa wizi, kwanini hawamshitaki au wanamwogopa? Maana tokea 2008 Mzee Lowassa alijiuzulu.
 
Hivi si lowasa huyuhuyu juzi kwenye safari yake ya matumaini alikuwa anawaambia watu kwamba wasikubali nchi kuongozwa na chama pinzani??? Sasa huku pinzani alikoenda atawaambiaje wananchi?? Serious Lowasa anaboa,na sijui kwanini anatafuta urais kwa nguvu hivyo,na upinzani napo wakimpa kugombea urais hakika CCM watashinda uchaguzi wa October kwa kishindo
 
Back
Top Bottom