Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Hata kama ili kuiondoa ccm inabidi kumkodi Lucifer mie nasema ndio kwani hatuwaondoi watu Bali mfumo mbovu.
Uongozi wa Ukawa unaweza kuingia msdarakani na yeyote yule lakini kwa mfumo wao atadhibitiwa tuu.
MUHIMU KWA SASA NI CCM KUONDOKA TUU

Naunga mkono
 
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo

Uchaguz unasogezwa mbele
 
Amekwisha choka akapumzike..ukimuona mtu analilia ikulu jua kuna lake jambo..
 
Naunga mkono kuhamia,ila siungi mkono kugombea urais.kwahiyo jibu ni HAPANA.
 
Back
Top Bottom