Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Nitashangaa sana kama uongozi wa juu wa CHADEMA utakuwa unaunga mkono kitendo hiki. Ninaamini CHADEMA wanao mtaji usiohitaji msaada wa LOWASA kuingia IKULU. Siamini kama hili linaweza kutokea.
 
HAPANA,Lowassa aje UKAWA lakini awe chini ya mtu kama mfungwa anavyokuwa chini ya ulinzi wa nyampara.
 
Back
Top Bottom