stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 9,121
- 17,945
Mboni unapanic hivyo tena 😂Oyaa acha kuuliza maswali ya kijinga basi vipi wewe unafurahia watu wakikusaidia, kwa hali hii acheni tu hao wanawake waendelee kuwachuna, hakuna cha kuwavumilia wala kuwaonea huruma