Unatamani gari gani ambalo unaweza kulinunua miaka 2 ijayo

mbweta n king kong,sikumbuki exactly percentage,ila ukweli ni kwamba waziri alisema gazi za 2008(kama sikosei)kurud nyuma tozo la kodi limeongezeka

ni 2004 kurudi nyuma mkuu,mm natamani sana volkswagen toureg.
 
Last edited by a moderator:
Ka hiace katanitosha maana hizo 50,000 za kila siku nazitamani sana!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom