Unataka mke mwema na mzuri (choose from this category)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Orodha kwa ubora (10 bora). namba ndogo inawakilisha ubora zaidi

1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa)
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Haya kazi kwenu
 
source
423234_334252923287595_1174454744_n.jpg 423234_334252923287595_1174454744_n.jpg
 
1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa).
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Hizo zenye nyekundu tupe notice
 
Karne hii ya leo bado watu wanaoa kwa makabila? Mungu ibariki Tanzania.

I dont believe a single lie. Pia ni kuwadhalilisha Wanawake wa makabila mengine ambao ni bi bi zetu, mama zetu, shangazi zetu, dada zetu, wake zetu, nk.

Hivi umewahi kujiuliza kama wanawake wasingekuwepo duniani maisha yangekuwa vipi?

Na hayo makabila unayoyaona hayafai kuoa yangekuwa hayapo unajua tanzania ingekuwa vipi?
 
uzoefu unaonyesha chagga women ni hatari, kwa waume, na ndio wanaongoza kwa kuwa ma-widow.
 
Wanangu mke mwema si kabila wala dini ya mhusika. Ingawa kuna makabila yanasifika kwa kupenda mali hasa fedha na majumba, mke mwema hutoka kwa Mungu na si kwa kabila wala nini. Isitoshe kila jamii ya wanadamu inao wema na wabaya. Hivyo kutumia kabila kupata mke ni sawa na kutumia utuli kuficha harufu. Heri wenye macho wakayatumia kuliko watumiao hisia za kijinga kama ukabila dini na mbari.
 
Hapo hakuna hoja wala mada. Mke bora/ mzuri ni relative. Ordering ya makabila imefuata vigezo gani??
 
Orodha kwa ubora (10 bora). namba ndogo inawakilisha ubora zaidi

1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa)
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Haya kazi kwenu

11. Haya (Bukoba)
 
Back
Top Bottom