Unataka mke mwema na mzuri (choose from this category)

Umuhimu wa kabila ulikuwa ni nini?
1. Appreciation ya wanawake/wanaume walio ndani ya kabila lako
2. Kutunza na kuhifadhi mila na desturi za kablia lenu
3.Kiuchumi- hawakutaka kutawanya mali zao accross makabila
4.Watoto wazuri - waliamini kuwa viumbe wanaozaliwa wakiungana watu wa kabila moja ni wazur zaidi
5.Gharama- ilikuwa ni ngumu sana kwenda mbali kuoa
6. Historia. Kuna maswala ya kihistoria kama vita, ambayo yalikuwa yamejenga chuki baina ya makabila.
7.Tabia...
 
kwa miaka ya nyuma kitu cha muhimu sana cha kuangalia wakati wa kuoa au kuolewa ilikuwa ni kabila. Kwa sasa hiyo dhana imepotea. Watu wanaoana freely. Cha muhimu ni kujiangalia wenyewe kama kweli mnashabihiana badala ya kuangalia makabila yenu!

oa mrangi uone kazi!
 
Orodha kwa ubora (10 bora). namba ndogo inawakilisha ubora zaidi

1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa)
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Haya kazi kwenu
kwani hawa ni wanawake au ni makabila na sehem wanakotoka??
kuna mwanamke anaitwa chaga (rombo)??
 
heheheheee......maybe ungetoa na definition yako ya mke mwema kwanza....
Mke mwema
1. Mpole wa moyo na mkarimu
2. Anajua kuongea na mumewe kwa maana kila neno limtokalo ni baraka kwa mumewe.
3.Anaye jua kumridhisha mumewe ktk mambo yote ya ndoa
4. Hayupo tayari kuvunja ndoa kwa gharama yoyote.
5. Anajua kuelea na kilisha familia yake (mumewe na watoto).
6. Hana chuki na ndugu wa mumewe wala wa kwake.
7.etc
 
Orodha kwa ubora (10 bora). namba ndogo inawakilisha ubora zaidi

1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa)
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Haya kazi kwenu
How relevant is this list as per today's society ?
 
labda utuambie kuna tofauti gani kati ya wanawake wa machame,rombo na marangu
mwanamke wa rombo nkupe hints kidogo tu,kwnza n wapambanaji,yaan n ma hustler haswaa,ukiangalia biashara nying ndo wanazfanya ,mfanoo biashara ya ndiz na hiz parachichi,kubwa zaid wanawake wa kirombo huzingatia zaid elim kwa watoto wao,yaan akiskia jiran mwanae kafika level ya juu ya elimu,yuko radhi auze hata mifugo ili tu na mwanae afikie level hyo hyo,
 
Orodha kwa ubora (10 bora). namba ndogo inawakilisha ubora zaidi

1. Chaga (Rombo)
2. Bena (Iringa)
3. Zigua (Tanga)
4.Nyakusya (Mbeya).
5. Nyaturu (singida).
6.Hehe (Iringa)
7. Waha (kigoma)
8. Fipa (rukwa)
9. Luguru (morobest)
10.Sukuma (shinyanga)

Haya kazi kwenu

Nilipoona kuna wanyaturu wa Singida na wanyakusya ndio nikajua wewe mtoa mada hujawahi kutembea wala hata haujui Tanzania ilivyo


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom