Unataka kutongoza bila kukataliwa?

Nov 8, 2016
23
33
Hii ndio njia pekee ya kutongoza bila kukataliwa

Huwa nawaambia wanaume wenzangu.

Nguvu kubwa ya mwanamke iko kwenye "Communication". Mawasiliano

Wakati sisi tunacheza cha ndimu, wao walikuwa wana socilize, wakati sisi tunanunua six yenye meno ya chuma na kugombana uwanjani

Wanawake walikuwa wanajifunza jinsi ya kuishi na watu

Nataka nikuambie, huwezi ukapendwa na kila mwanamke, ukiona unamuona mwanamke kwa mara ya kwanza na your first instict ni kumuoa au kulala nae

Ndugu yangu, kuna fuse imecheza kichwani inabidi ufanyiwe maombi

Fuata njia zifuatazo, ili kuhakikisha ushindi kila unapo tongoza

Nguvu kubwa ya mwanaume, ipo kwenye "Actions". Umeona demu unae vutiwa nae first instict ni kuchukua namba, na kushusha mistari

Asilimia kubwa ya wanaume sio great communicators, ni watu wa matendo zaidi

Hakikisha kabla ya kushusha nyavu "The girl is interested in you". Hakikisha kwamba demu anavutiwa na wewe

Comfort zone kwa mwanamke ni mawasiliano, hawapendi kuchukua hatua, asipo kupenda atatumia njia hiyo kuwasilisha ujumbe narudia asipo kupenda atatumia njia hiyo kuwasilisha ujumbe

Akikikupenda ata toka kwenye comfort zone "Communication" na kufanya kwa vitendo

Wanaume wengi wanalalamika "Ananipa mixed signals" kuna wakati anaonekana kama ananipenda kuna wakati she is so cold

Mimi huwa nawajibu "The medium is the message" kama yuko hivyo ni kwasababu she is not interested anaangalia option alizo nazo na "You are not her best option"

You must appreciate a woman ambae "Ametoka kwenye comfort zone yake akafanya kwa vitendo" she is a keeper

Wanaume wengi , wanakuwa kwenye mahusiano ambayo ni ya upande mmoja, mahusiano ya kuchosha na kugongewa kila mara kwasababu wanalazimisha kuwa kwenye mahusiano na "Wanawake ambao hawawapendi"

Unakuta mtu king'ang'anizi sehemu ambapo ameshaonyeshwa alama zote kuwa hatakiwi

Ukiwa na demu kwenye mahusiano ambae anakutafuta akiwa kwenye shida, ana mahitaji. Demu ambae inaweza ikapita mwezi hata miezi mpaka akutafute/umtafute

Ukimuuliza anakuambia "Kwani lazima tuongee kila siku?", "Nilipitiwa", "Nilikuwa busy", "Sikuwa na vocha"

Wewe ni kipi kingine unataka uonyeshwe ili uelewe?, yani kwenye nchi ambayo kuna wanawake wengi kuliko wanaume unachagua "Kuteswa na mapenzi"

Hapa ndio maana nawashauri ukiona mwanamke wa aina hii "Spin plate" go no contact na dont be exclusive na mwanamke wa aina hii

Azungukeee akirudi haimaanishi anakupenda, wewe jua hili

She is not interested, ukilazimisha utapigwa matukio akili ikae sawa

Hakikisha una reciprocate matendo mazuri anayo kufanyia mwanamke, that's is her way of showing interest

Inawezekana conversation inakufa akatumia nguvu kuiendeleza, hawezi kukaa bila kukutafuta, is she considerate (akiwa anafanya maamuzi anafikiria kama "Sisi" au "Mimi"

Mwanamke ambae hana interest na wewe anapenda kutumia neno "Mimi" zaidi anapoongelea future

Only be interested when she is interested, unajenga mahusiano ya pande mbili sio moja
 
Unyama
20230306_024244.jpg
 
Marioo Tafuta hela maelezo mengi ya nini
Hujielewi, mademu wakiwaomba hela mnakuja kulialia humu, sie wenzenu tunawazagamua na wanatupa hizo faranga na zawadi juu naambiwa hiyo mpelekee mtoto, we endelea kutafuta hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom