Unataka kuongeza uzito?

amigooo

Senior Member
Jun 30, 2012
115
18
Hello Mwanajamii.

Ni wazi kuwa watu wengi wanajishughulisha katika kupunguza uzito kulingana na ushauri wa kidaktari. Wapo wanaoweza kufanikiwa kupunguza na wengine walio wengi hushindwa kutokana na zoezi kuwa gumu. Mimi nakushauri usipate tabu kuanza kufanya program ngumu sana ambazo zinakuchosha sana na hata ukifanikiwa kupungua tayari umeshaonekana mzee.

Nina lishe nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia kwa ajili hiyo ambayo baada ya kuitumia mafanikio huonekana ndani ya muda mfupi huku afya yako ikiwa njema sana.

Pia wapo ambao hujitahidi sana kufanya wawezavyo ili kuweza kuongeza uzito lakini hawafanikiwi. Mtu anakuwa chini ya kilo zinazotakiwa kuendana na kimo chake jambo ambalo sii zuri kiafya. Pia nina lishe kwa ajili ya kuongeza kilo na kuwa na kilo zinazostahili kiafya.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi kupitia email: healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162

TUNZA AFYA YAKO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom