Jamani umewapa za uso! Mdada hata kuzoeana bado anataka utangaze ndoa lol! Maisha menyewe haya.....mmmhhhh
Can you be my future wife?
Umwambie msichana wa kitanzania lets have funny and enjoy each other huyo huwezi mpata hata siku moja! Labda um-bake ......!
Umwambie msichana wa kitanzania lets have funny and enjoy each other huyo huwezi mpata hata siku moja! Labda um-bake ......!
Rev au mwanaume yeyote humu, ulishawahi kutendwa na mpenzi wako uliyempenda?
Ulijisikiaje? ulichukia kwa kupoteza muda wqako right?
Amen..Kuyatenda yale tupendayo kutendewa na wengine.
Angalizo: Huu ni mtazamo wangu tu kuwa huenda hiyo ni gia yenu (wakaka) tu ya kupenda kumega mega ovyo....Mshindwe kabisa
Nimeisha tendwa mara nyingi mno! Kuanzia mashuleni, vyuoni, makazini na mitaani...ila nasonga mbele....sijalalamika nimetumika wala kuchezewa.
Mkuu mbona umewaweza tayari? Senkis!Mkuu watanishinda hebu baki kidogo!
Huwa inapendeza sana ikiwa mkaka atakuwa wazi hasa kuhusu nia yake kwa mdada. Siyo lazima useme kuwa unamchezea tu waweza tumia neno tofauti lenye maana sawa na hiyo. Wapo wadada wengi tu ambao wao huwa hawahitaji mtu wa future...Hivo ni vema kuwatafuta hao kuliko wampotezea mda mtu mwenye malengo yake ya kuwa nawe maishani.
Unataka chukua utaifa upi mummy!
Maongezi yao!Ntawatambuaje?
Unapokuwa kijana unakutana na kijana mwenzio iwe safarini, sehemu za kazi ama mtaani. Uzalendo unakushinda na kuanza kurusha ndoana zako kwa mdada. Chemistry inaanza kuwapanda wote. Unaanza kujiweka karibu na binti mnaenda dinner na movie kadhaa. Kabla ya kulala mwapigiana simu ....etc etc missing you kwa sana. Hapo mkaka unatafuta kasi umwombe tunda. Siku ya siku unameza mfupa na kumwambia mdada inakuwaje sasa? Jibu bwana mimi nakupenda pia ila naogopa utanichezea tu na kuniumiza moyo wangu, niliwahi umizwa na mkaka mmoja nilimpenda kuliko wewe!!!!!!! Hapa hujiuliza kuchezewa kupi huko? Nadhani labda wadada mbadili kauli iwe tunachezeana its makes more sense kwangu.
Haya wadada mpo?
.......unatafuta kasi umwombe tunda.
Ntawatambuaje?