Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa haidumu muda mrefu.
Katika hicho kipindi mpenzi wako hata afanye jambo zuri huwa unahisi anakuboa yaani humfurahii na ni kipindi hicho ambacho uhusiano ni rahisi kuvunjika iwapo mmoja hatakuwa imara kuusimamia na mara nyingi kipindi hicho mpango wa kando hutafutwa.
Nafikiri wadau wote humu tushawahi kuwa na wapenzi/tunao/tumeoa au tumeolewa.
Naombeni mawazo yenu hapo.
Je ulipohisi kumchoka mpenzi wako ulifanya?