Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Doto12

JF-Expert Member
Nov 2, 2023
268
568
Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa.

Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta.

Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi.

Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
 
Nakumbuka kanuni moja nilikiwekea enzi za shule. Nikiandika jibu nikaona kama sio.lenyewe., nafuta lakin kumbe ndio lenyewe huwa naliandika hilohilo la mwanzo maana ndio sahihi.

Watanzania wengi hatupendi kusema ukweli kwa sabab ya maslah binafs.

Hii utaiona kwenye mitihani unaandika unafuta

Kwenye WhatsApp status unaweka unaondoa bahat mbaya WhatsApp gb hakuna kinachofutika
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!

Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂

Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!

Sema age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸‍♀️🤸‍♀️
Fikiria umepiga Uchi ukautuma.

Mmi nshawahi chat na jirani wa kiume, kumbe majina yalifanana tu. Yaan aibu hadi.leo.

Sometimes najifanya I don't care
 
Nakumbuka kanuni moja nilikiwekea enzi za shule. Nikiandika jibu nikaona kama sio.lenyewe., nafuta lakin kumbe ndio lenyewe huwa naliandika hilohilo la mwanzo maana ndio sahihi.

Watanzania wengi hatupendi kusema ukweli kwa sabab ya maslah binafs.

Hii utaiona kwenye mitihani unaandika unafuta

Kwenye WhatsApp status unaweka unaondoa bahat mbaya WhatsApp gb hakuna kinachofutika
Mwalimu wa physics aliwahi sema jibu la kwanza kulifikiria au litakalo kujia ndo sahihi😁😁
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸‍♀️🤸‍♀️
Kama ni kweli weka picha tujiridhishe!?
 
Nakumbuka kanuni moja nilikiwekea enzi za shule. Nikiandika jibu nikaona kama sio.lenyewe., nafuta lakin kumbe ndio lenyewe huwa naliandika hilohilo la mwanzo maana ndio sahihi.

Watanzania wengi hatupendi kusema ukweli kwa sabab ya maslah binafs.

Hii utaiona kwenye mitihani unaandika unafuta

Kwenye WhatsApp status unaweka unaondoa bahat mbaya WhatsApp gb hakuna kinachofutika
ni vizuri kujisahihisha
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸‍♀️🤸‍♀️
Inaonyesha bimkubwa ana mambo mazuri sana
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!!
Utamjuaja mtu anayetumia whatsapp GB?? Kwenye official whatsapp !!
 
We hukusave??

Back
Top Bottom