Nilichoamua japo nampenda sana..... nampotezea kwa mda, endapo nayeye akikaza ubongo itakuwa ndo bye-byeSaa nyingine ni hasira tu na hamna anachomaanisha we subiri hasira zimuishe ndipo utajua mbichi na mbivu.
Angekujibu ikiwa hamna mtafaruku hapo walau ungeweza kuhukumu kwa %100
N bahati nzuri Bwashee wetu ana njiti na kasha, lazima akiwashe
Chanzo cha ugomvi ni kwamba kuna katabia fulani anacho basi, nikaamua kumshauri kwa upole tu lakini mwisho wake mambo yamekuja kuwa makubwa.Itakuwa mna ugomvi wa muda mrefu, labda ungetupa chanzo cha ugomvi wetu inaweza kuwa wewe ndiyo mwenye kosa alafu unataka ushindi...
Hapo kuna ugumu kidogo kupata jibu la moja kwa moja kwa sababu kuna matukio ya nyuma umeyaficha.Leo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache.
Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani kunitamkia hivyo?
Mimi wa kwangu aliniambia kama uchi ni wangu usinipangie wa kumpaLeo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache.
Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani kunitamkia hivyo?
Kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba alishakuacha muda mrefu hapo anatafuta njia tu na kisababu uropoke ili ukamilishe sentence aliyokwisha kuitunga.....Leo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache.
Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani kunitamkia hivyo?
Hatari tupuMimi wa kwangu aliniambia kama uchi ni wangu usinipangie wa kumpa
Tatizo anasita sita kukiwasha😆N bahati nzuri Bwashee wetu ana njiti na kasha, lazima akiwashe
Kumbeee..ngoja kimlipukie sasaAliechoka hana maneno mengi, huyo anatingisha kiberiti
Shoka moja mbuyu chini
Mpo wengi,inawezekana anakutafutia sababu tu.....maana hana komitimenti wala fyucha naweweLeo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache.
Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani kunitamkia hivyo?
Ww unaonekana mjeuri sanaMihuwa nakimwambiaga mtu hivyo..hua naamisha kabisa Wala sitanii..Ila yeye hua ndo anadhani natania..Tena nilikua namwambia Mara kwa mara