Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
unapenda kutumia homepage zaidi ya moja ktk Firefox? kama ndiohii ni trick utaweza kuiset Facebook, Google and YouTube as your homepages tumia maujanja haya kuiset Firefox to set multiple homepagesGo to Tools>Options>Main 1. itatokea sehemu ya kuingiza home page. 2. ktk Home page ingiza homepages zako zikitenganishwa na | (pipe symbol). 3. Click OKmfano:https://www.jamiiforums.com/|http://www.google.com|http://www.facebook.com/baada ya hapo funga firefox fungua tena utaona zitafunguka home paje zako zote kwa mara mojahii alama ya | pipe symbol inapatikana press shift ya upande wa kushoto pamoja na button iliyopo mbele ya shift