Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 837
Hivi huyu naye ndio alifutika kabisa kwenye historia yetu? Naona huku wazungu wanamwona one of the greats from Africa
Pichani MALCOLM X alipokuja Tanzania akiwa na BABU
Nakumbuka wakati ni ko secondari nilisoma kile kitabu chake cha AFRICAN SOCIALIST or SOCIALIST AFRICA?
je kumbu kumbu yenu ni ipi kuhusu BABU?
Pichani MALCOLM X alipokuja Tanzania akiwa na BABU
Nakumbuka wakati ni ko secondari nilisoma kile kitabu chake cha AFRICAN SOCIALIST or SOCIALIST AFRICA?
je kumbu kumbu yenu ni ipi kuhusu BABU?