Unamfungulia mtu moyo wako, anaingia na kuutesa

Muda haujwh kudanganya na kamwe hauwez kudanganya ukiona m2 anajrb kuununua ukweli ujue hpo kuna shida fake love cost interm of everything kwa7bu m2 anajrb kuununua ukweli kwa kukufumba akili na vjzwad na kukuasa usisklze ya w2 ht kma yna ukweli wanadam tumefichwa kwa nn mapenz yawe na nguvu kuzd ht break za dyna clipper za mbagala rangi 3 Ukchungza utagundua hlo w2 wengne mpka wanachanganyikiwa kwa ajili ya mapenz lkn msng wake wa2 kupata shda zte hwapend kuelewa ukuhimu wa muda kukupa majibu juu ya mpenz kma ni fake au original m2 anakupenda ataonyesha mapenz ya kweli lkn ht sku moja usilazmishe vitz na tata kupita kwenye matope vitz itshindwa jfnze kusahau maumivu yntkna na moyo wko kukosea kupenda paspo pendeka maisha ni zaid ya mapenz maana maisha ni makubwa kulko mahusiano learn how 2 let things go
 
Piga magoti umuombe mungu akusahaulishe huyo jamaa, inawezekana.
Na usisahau kazi ya moyo ni kusukuma damu,kupenda ni kiherehere chake.
Pole.
Wanaume ni walewale juzi,jana na leo
 
Pole sana, ila Maisha ni furaha na maisha ni uzuni.

Uzuni ni pale unapo jiakisi kwenye uzuni, utauzunika sana

Na kama una uzuni ukajiakisi kwe furaha hutakuwa na uzuni.

Kwa maisha ya sasa kuwa tayari kukabiriana na chochote.

Tafuta pesa kwa bidii, utakuwa huna cha kupoteza.
 
Don't be too serious in relationships kwa sasa, utalia kila siku. Maisha yalivyo magumu halafu uanze kunigandaganda kisa hubby sijui madudu gani.

Ukitaka uwe na Amani take it easy ikitokea mmemove forwad poa ila akizingua unajua tu ndo wale wale.

Pia ifike wakati wadada muanze kutongoza, hii itasaidia kuwa na watu mnaowataka na ambao ni sahihi.
Eti ee.... Basi ngoja nianze kumtongoza fulani
 
Nimekutana nayo pia, HAWA wanaume sijui wakoje wanadhani tuna roho ya jiwe. Mtuonee Huruma wenzenu
 
Ukweli ni kwamba wenye mapenzi ya kweli hawapewi nafasi, wenye mapenzi ya mseto wanapewa hifadhi!
Acha yawatokee kwani mnajifunza baada ya kuumizwa
 
Mapenz yanaumiza my ambae hajawah kuumizwa nampa ongera.Ila mapenz niyaovyo Sana yako kama mama mjamzito aliyeko leba anapat maumiv na kutukan akishajifungua tuu anasahau anaend kuvua tna pupi.Utasahau tuu na kuanza upya n shemela yetu mwingine kwa raha zako
 
Nilifikiri huyo ni wa 3 ama wa 4 kumbe ndo wa 1 uctake raha kwanza kabla hujazpita shada km binti ambaye unahtaji mwanaume wa kukuoa hunabudi kuendelea kutafuta atakae kufaa ama km vp komaa na huyo umvumilie huenda atabadilika kwa baadaye ila pole sana na pia IPO cku utapata tu don't give up
 
Back
Top Bottom