Unamfahamu Msafiri Deo Mgengeli [TAPELI, kuwa makini]

Status
Not open for further replies.

Mgengeli

Senior Member
Sep 23, 2011
193
13
WanaJF Mimi niko nje ya nchi natafuta mawasiliano na mtajwa hapo juu nimepewa habari zake na mzungu mmoja kuwa huyo msafiri ni dereva mzuri sana wa malori na nimwaminifu sana wamefanya naye kazi wakiwa arusha namtafuta nataka kuanzisha transport huko TZ
 
anapatikana kwa simu namba 00255717326072 au email:msafirimgengeli@yahoo.com kwa sasa anaishi na kufanya kazi dar ila yupo safarini ameenda Burundi anaendesha kwenye kampuni ya kusafirisha mafuta mimi ni mdogo wake
 
anapatikana kwa simu namba 00255717326072 au email:msafirimgengeli@yahoo.com kwa sasa anaishi na kufanya kazi dar ila yupo safarini ameenda Burundi anaendesha kwenye kampuni ya kusafirisha mafuta mimi ni mdogo wake

Mkuu,
Naomba kusave contacts kwa ushauri wa biashara siku zijazo?
 
sawa ila wasiliana naye kwanza yupo kobero mpakani mwa burundi na tanzania ameniambia kuwa anarudi Bujumbura anarudia gari kuna dereva kapata short ya diesel(mafuta) halafu kaikimbia
 
Mgengeli namfahamu kwa miaka 13 nikifanya nae kazi katika kampuni kweli huyo sijawahi kusikia tatizo lake nikiwa kama bosi wakati huo niachana naye muda mrefu nashukuru kwa mawasiliano anajulikana kwa Jina la baba wa Imani au mchungaji kweli ni MCHUNGAJI
 
naona promo mtu anajiulizia, anajijibu na kujipromo

mie namfahamu huyo jamaa wakati naishi arusha sekei, alinilangua kweli mzigo wa laki tatu kwedna dar alikula laki nanne na watu wa procurement ofisini kwetu
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hahaha ha mkuu, lakini hakuwapiga sana!
naona promo mtu anajiulizia, anajijibu na kujipromo

mie namfahamu huyo jamaa wakati naishi arusha sekei, alinilangua kweli mzigo wa laki tatu kwedna dar alikula laki nanne na watu wa procurement ofisini kwetu
 
mimi namjua mgengeli anapenda sana kutumia mirungi akiwa safarini na honestly sio dereva mzuri. Promo inaendelea
 
adara

huyu mzungu mlikutana nchi gani na coincidence hii ilitokeaje na mazingira gani yalijiri mpaka mkafikia kumzungumzia mgengeli? je kwanini huyo mzungu hakukupa hizo contacts? je mzungu ndiye aliyekushauri uje kumtafuta huyu jamaa jf? halafu baada ya hapo ukakimbia haraka haraka ukaja jf na kujiunga ili umtafute mgengeli, siku hiyo hiyo baada ya dakika 43 tokea upost bandiko lako anayejifanya yeye ni mdogo wake msafiri deo mgengeli ambaye ni member humu akatokea ghafla na kutoa contacts hadharani bila hata kuhoji uhalisia wako wewe adara either kwa kuomba kutumiwa pm au vinginevyo, baada ya siku moja adara amerudi tena hmu jamvini akituhabarisha mahali alipo ndugu msafiri deo mgengeli huku akionyesha kwamba mgengeli anaaminika kwenye udereva kwani mdereva wengine huyu simwaminifu kwa kulikimbia gari, baadae tena amekuja mtu moja anajiita mama nyegoro akaamua kujiunga jf haraka haraka pia ili ajishaue kwamba anamfahamu mgengeli na ni dereva mzuri sana na ni mwaminifu, OMG

i smell fish

more to be revealed
 
Duu kweli naona hapo ni mtu kaamua kujipa promo ili watu wamtafute kumpa kazi. Ukingia kingi tu imekula kwako.
 
Huyo jamaa alishakujaga hapa kuelezea kua anafanya hizo issue!!
Sasa under coincidence gani uache kutafuta huko kooote ukaja hapa ambapo nae ni member!!
Tuseme ushamtafuta mara ngapi kwenye mitandao mingine kabla ya kuja hapa!!
Kama hiyo mitandao tutakuamini! But kama ndio mara yako ya kwanza kumtafuta na ukaanzia hapa ambapo nae yupo ni wazi kua wewe ndie yeye huyohuyo mgengeli wako,
Hakuna cha mzungu wala mnani sijui!!
Kama alivyosema mdau hapo juu kua umeamua kujipigia promo kwa njia rahisi sana bila kujua kua ma-great thinkers kukokotoa na kutoa jibu sahihi kwao ni easy sana!!
Jaribu kivingine bro.
 
Wana JF Natafuta gari lori 6x2 ya kununua iwe ya kuanzia mwaka 2002,aina STRALIS IVECO,SCANIA na DAF XF kama unayo nitumie bei kwa ujumbe wa simu kwenye namba 0715099279,naitwa Felician bei iwe ya Tanzania sio nje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom