Unamfahamu Dr Paul Hamis Hussein ?

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Huyu jamaa ni mtanzania nimekuta clips zake ktk eastafricantube vile vile clips zake nyingi zipo kwenye youtube. Kwa kweli huyu jamaa ni muongo sana. Yeye anaidai kuwa alikuwa muislam na kuslim lakini hizo issue ambazo anaeleza kuhusu uislam nyingi ni za uongo

kuna wakati alisema hivi '' jiwe jeusi ni kitambaa cheusi kilichopo kwenye kaburi la mtume kule makka na watu uenda kuomba majini ya muhammad kwenye kaburi lake huko makka''

Nilipatwa na hasira maana ni uongo mtupu..
Mtume kazikwa madina, jiwe jeusi sio kitambaa.. sasa hizi kashfa ni kwa ajili gani?

mara oh uislam ni dini ya majini..Yeye alikuwa mchawi . yani uchawi wake anauunganisha na uislam.

Lengo la kuileta mada hii ni kwa wale waliopata kumsikiliza wachangie na waseme wanamtazamo gani kuhusu huyu ''muongo''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom