Ntaramuka
Senior Member
- May 2, 2008
- 169
- 27
Siku ya kwanza ugenini huwa ngumu sana kwa watu wengi. Ukiwa mgeni unajitahidi angalau uendane na wenyeji wako, usionekane wa tofauti sana, wa ajabu nk. Siku ya kwanza kwenda Zanzibar, katika kujaribu kuendana na utamaduni wao, niliwakuta wafanyakazi wenzangu (wazanzibari) wanapiga story nikawasalimia hivi "WALAYKUM SLAM!" badala ya "ASALAM ALAYKUM!" nilikuwa cjaizoea hii salam kwan mm c muislam, walicheka!