Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh
 
Mkuu naomb niku PM.
 
aisee atar sanaaa....ilianzia msituni simbanguru (manyoni) wazee wa machimbo ya mgodi wanapajua ...aani niliingia hifazi nikasoti mawe ya dhahabu alafu kutoka ikawa kimbebe sikuio game walikua na doria kali sanaaa halafu kukawa na mvua kubwa....lakini baada ya yote mola alisaidia nikatoka hadi ulaiani ,nikasaga mawe nikapata 15g ..kipndi icho bei ilikua 100,000g
hapo ndo nilipoanza kua namtaji halali.
 
niliunga unga nikafanya savings kupitia mchezo ensi hizo 10k kila jumapili kupokea 100k, unapokea unachukua mzigo unaongeza jina unatoa 20k unapokea mawili ikafika kupokea 300k nikaanza biashara ndogo ndogo nyingi zingine zinakufa
zikifa naingia tena mchezo nachukua mwanzoni hivyo hivyo mpka nikasimama
 
Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh
MaashaAllah
 
Hellow lovers,

Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi?

Ilikuaje?

Tuambie tujifunze.
Swala la mtaji ni changamoto kubwa sana.

Mimi kazi zangu ni za services. Hivyo nikipata kazi ambayo inahitaji hela ya kununua materials, huwa natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye kazi husika. Baadae tunagawana kilichopatikana.
 
Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru Mungu biashara ikakua.. wife alikua well discplined, mpaka sasa since 2014, mwaka huu biashara inafikisha 10 years.. tulikuja kuoana baadae tumejaaliwa watoto wawili, na maisha yanasonga... from time to time huwa nakaa dukani, na ikitokea siku kibarua kimeota nyasi / nikifika umri wa kustaafu ntajishikiza hapo.... yote kwa Yote tunasema Alhamdullilahh
Naweza kuja PM mkuu?
 
Back
Top Bottom