Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo?
Mtoto: Lakini mama......
Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea?

2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia uchelewe sasa ole wako uchelewe)

3. Baada ya kumuogesha mtoto eti anamwambia halafu ukajichafue tena!

Tupia na nyingine!
 
Back
Top Bottom