Unajua kwanini misafara ya viongozi hutanguliwaa na pikipiki?

kuna watu hawaelewi dhana ya sweepers au madereva wa pikiiki katika misafara ya viongozi
i,kama tunavyojua pikipiki ina taa moja mbele taa hiyo au jicho huwakilisha shetani mwenye jicho moja shetani huyo ndio ulinda viongozi wote duniani
Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجّال‎‎ )Al-Masīḥ ad-Dajjāl, "masiha wa uwongo", or "the deceiver"ni alama ya ushetani au ibilisi katika theolojia ya kiislam.
kwa mujibu wa hadithi za mtume mohammed SAW alishatabiri uovu atakaofanya huyo shetani kwa viongozi wa nchi Muhammad alisema:
...Ad-Dajjal ni shetani mwenye jicho moja atakayeongoza misafara ya viongozi wote wa duniya hii
kwa hiyo ujue marais na viongozi wa nchi wote wako chini ya shetani huyo
194966.jpg

hahaha
 
shida tupu cheki hapa dini inavyoelekeza
image0017.jpg
We jamaa unajua. Kucheza na akili za watu.
All in all you are right lakini kuhusu huyo wanaomwita dajjal ni Antichrist ameelezewa vizuri kwenye kitabu cha revelation na Daniel kwenye Bible lakini hawana uhusiano na huyo dajjal.
 
Back
Top Bottom