Unajua kuwa tunalipa takribani 1.9trn Tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimewahi kutaka ukaguzi Maalumu katika ‘account' ya Deni la Taifa. Linarejea wigo huu. Tunalipa takribani 1.9trn tshs kwa mwaka kuhudumia Deni la Taifa. Zaidi ya Bajeti ya miumbombinu, Afya, Maji, Umeme nk.

Source:Zitto Kabwe

MY TAKE
Kuna haja kuanza kulivalia njuga suala la ili deni otherwise mbele giza kwa jinsi linavyoongezeka mpaka sasa kufikia 14 trillion.
Mbaya zaidi deni laongezeka uku impact ya iyo mikopo kwenye uchumi wetu ni insignificant which means nyingi watu wanakwapua
 
Back
Top Bottom