Unajua android Tv unaweza kuifanya utakavyo?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1688839042844.png

Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima.

Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa ๐Ÿ˜!!

1) Change Device name

๐Ÿ’ญ Android tv yako imekuja ikiwa na jina lake pamoja na model number sio lazima likae ilo jina unaweza badilisha ukiamua.

Mfano kama vile Xiaomi wana android tv yao kwenye box limeandikwa MiTV-MOOQ1 wakati unaunganisha na Bluetooth unaweza kuliona ila unaweza kubadilisha.

โ€ข Fanya hivi kwenye android Tv ingia setting menu upande wa kulia juu.
โ€ข tafuta device preference chagua about
โ€ข device name badilisha jina utakalo unaweza chagua waliyokuonyesha au ukandika lako.

2) Pin your favorite app
๐Ÿ’ญ Hivi unajua unaweza chagua app unazozipenda na kuzi pin app ambazo unatumia mara kwa mara kwenye Tv.

โ€ข fanya hivi ingia home kwenye android tv
โ€ข tafuta icon yenye alama ya + chagua app unataka kupin kwenye homescreen
โ€ข app itajitokeza kwenye kioo chako kama favorite gusa app Kisha chagua move kuweka sehemu unayotaka unaweza tumia njia iyo iyo kuondoa.

3) Add another account
๐Ÿ’ญ Unaweza kuweka Akaunti nyingine ua email kwenye tv yenye mfumo wa android na kama ni mwana familia.
โ€ข fanya hivi chagua account picture unayoiona kwenye home screen juu upande wa kulia mwa Tv yako
โ€ข bonyeza iyo account unayoiona Kisha itakupeleka sehemu ya ku add Akaunti nyingine utaweza kufuata maelezo na ku add Akaunti kwenye Tv yako.

Sogeza picha kuongeza Maujanja zaidi ๐Ÿ–๏ธ
Ebu tuambie ni maujanja Gani unayajua kwenye Tv yako au ndo Tv ujapata bado ? ๐Ÿ˜ We tuambie ata ya jirani yako ?
 
Nilipata mahaba ya matumizi ya Android TV mara ya kwanza baada ya kuwa na android box ya Nvidia version ya kwanza kabisa ile ya 512GB...

My all time app ni Kodi, ni kuitafutia tu repositories zenye akili au IPTV m3ua...(hapa ni wewe na internet yako tu)...
 
Nilipata mahaba ya matumizi ya Android TV mara ya kwanza baada ya kuwa na android box ya Nvidia version ya kwanza kabisa ile ya 512GB...

My all time app ni Kodi, ni kuitafutia tu repositories zenye akili au IPTV m3ua...(hapa ni wewe na internet yako tu)...
Nikikumbuka nilivyokua nahangaika kuingiza add onns kwenye simu yangu ndogo vodafone aisee hua navheka kongole sana chief mkwawa
 
Back
Top Bottom